Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

tena na wale wasiojulikana ndio machimbo yao huku... jisahau kule kwenye Jukwaa la Siasa umemkosoa kigogo fulani ukaja huku chitchat 'ukashoboka' kwa mlimbwende huyo PM ukasema hapa 'nimelamba dume' kumbe unaingizwa king kiulainii...hatimaye unapotezwa kisa tu tamaa za kichwa cha chini

Wakuu tuwe makini
wengine wanaenda mbali wanaomba mpaka PESA aisee
 
tena na wale wasiojulikana ndio machimbo yao huku... jisahau kule kwenye Jukwaa la Siasa umemkosoa kigogo fulani ukaja huku chitchat 'ukashoboka' kwa mlimbwende huyo PM ukasema hapa 'nimelamba dume' kumbe unaingizwa king kiulainii...hatimaye unapotezwa kisa tu tamaa za kichwa cha chini

Wakuu tuwe makini
Heheheh hapa wachache watakuelewa!
 
248688.jpg
Duuu una lips nzuri dada...

Jf nzima hakuna
 
wengi mnoo mmekua mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa jamii forum kwa kua naficha sura yangu sasa IPO hivii:
nime amua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
.mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...
We huwa haumtukani Mr. Stone na serikali yake???
 
Back
Top Bottom