Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

Mzigua90 umejaliwa kidevu fulani hivi very rarely kumwona mtu anacho......wanaita "W shaped chin", watu kama nyinyi huwaga na mvuto sana hasa kwa jinsia tofauti.....Mziguaaaaaa......matata sana wewe......
Kumbe wa kipekee mie eeh. Ndo maana hata kama sina hela silali njaa. Now I know why
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…