Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani wewe joseverest una sifa hiziAisee hilo povu hatari
yaani wewe joseverest una sifa hiziAisee hilo povu hatari
keshooOngeza nyingine acha roho mbaya
Wewe ndiyo siyo mtu mzuri maana unajua kabisa ndani ya moyo wako kuwa unadanganya hapanyie sio watu wazuri
we nae kwan hatujui kama una {....}?????Huyu mleta mada inasemekana ni kidume lakini sina uhakika lakini,, msiniquote lakini
hahaha KISA NILI kUNYIMA NAMBAWewe ndiyo siyo mtu mzuri maana unajua kabisa ndani ya moyo wako kuwa unadanganya hapa
Kwanini ubadilishe kila muda avatar kama ndiyo wewe ha ha ha
Eeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe kabadilisha???
Ha ha ha inabidi mtu awe makini hapa
Nakutumia pm mkuuumetufungua macho
nipe namba yako ya voda nikufanyie muujiza wako mpesa ukapate lunch.
marahaba kijana wanguPaulina Nina gari mbili Ford fiesta
Na Nissan x trail sijaoa Na Sina bebe yoyote.... nakusalimia tu mrembo you are beautiful
Ha ha ha inawezekana nimezeeka maana sikumbuki kama nimewahi kuwa na uhitaji huohahaha KISA NILI kUNYIMA NAMBA
Hii suruali ni miongoni mwa zile ambazo zimesubuwa kwa wanaume waislamwengi mnoo mmekua mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa jamii forum kwa kua naficha sura yangu sasa IPO hivii:
nime amua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
.mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...
Hiiiiiii ndio nini sasa... Ushashtukiwa bhanaaaaaaaaaawe nae kwan hatujui kama una {....}?????
Noma mkuuAcha mchezo kabisa