Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Avatar ni mimi mkuu sijatumia ya mutu [emoji23][emoji23][emoji23]Mzigua na wewe weka yako basii! 😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avatar ni mimi mkuu sijatumia ya mutu [emoji23][emoji23][emoji23]Mzigua na wewe weka yako basii! 😛
Mtoto wako prisca yuko LA ngapi sasa vipi kuhusu Mme wako lugina upo nae au mshaachanawengi mnoo mmekua mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa jamii forum kwa kua naficha sura yangu sasa IPO hivii:
nime amua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
.mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...
sinta kulaMmh! Ukilila tutapata taab sana huku JF 🙄
Weka yako bwana hiyo ya faraja tunaijuasimu yako labda
ungeuliza Jana ungejibiwaMtoto wako prisca yuko LA ngapi sasa vipi kuhusu Mme wako lugina upo nae au mshaachana
simu yako mchinaaaWeka yako bwana hiyo ya faraja tunaijua
Wow! Kumbe ndio una kasura katamu hivyo?Avatar ni mimi mkuu sijatumia ya mutu [emoji23][emoji23][emoji23]
mbona haizoomiki au tecno Y6 yangu inazingua
Etii hii picha si ya Mrs. Nyalandu jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
bora ume nsaidia
Kumbe katamu eeeh. Nashukuru mkuuWow! Kumbe ndio una kasura katamu hivyo?
Mzigua na wewe weka yako basii! 😛
Nakuomba PM pliz nina kaugonjwa flani hivi unaweza kunisaidia .wengi mnoo mmekua mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa jamii forum kwa kua naficha sura yangu sasa IPO hivii:
nime amua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
.mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...
Duniani wawili wawili Mzigua90Etii hii picha si ya Mrs. Nyalandu jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
SanteeeKumbe katamu eeeh. Nashukuru mkuu