Mliotumia ubunifu wa dr Shika tafadhali rudisheni fadhira

expedition

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
935
Reaction score
2,995
Nitoe ombi kwa wale wote walotumia ubinifu wa Dr Shika wajaribu kurudisha sehemu ya walichokipata kwa ajili ya kumsapoti huyu tajiri yetu matata.

Baadhi ya watu hao ni Joti na kava lake la simu, Idrisa na Ebitoke.
Hebu mlio na ukaribu na hawa jamaa jaribu kuwashauri waonee aibuu aisee.
 
Yani wabongo wakiamua ku-kiki-sha vitu visivyo na maana...
yani imekua gumzo huyo baba kila mtu anamuiga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…