Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Mkuu labda unamsukumia mijeledi mbele na nyuma bila huruma!Ndugu zangu habari..
Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa.
Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi kuambiwa hamna utu na wake zenu njoeni hapa tupeane mbinu wakuu
Ni kweli haondoki ila neno sina utu linanikera sana ili hali kila huduma na mpatia vyemaHuna utu lakin haondoki
Mda mwingi anakua kaloa mpaka tunaweka taulo mkuu, japo kuna kipindi anakua kaloa na bado anasema anasikia maomivu na ninamzingatia vyema . Ila hii kauli ananiambia mara kwa mara ndugu yangu.Itakuwa saa unamkulaa labda unakisugua sana mpk anasikia maumivu makali akikwambia ww unajikuta ndio kwanza utamuu kunoga ,ukifika mshindo unakuta mwenzio k inawaka moto ww umesikia rahaa ..
Bac ndio neno una utu linatokea hapo hapo ,jrb kutumia Oliver pale anapokwambia anasikia maumivu..