molecule2004
Member
- Jun 28, 2025
- 30
- 59
strategy kubwa kuliko zote,ni usije kugeuka jambazi kubomoa maduka ya watuWadau ambao mshawai kufanya au bado mnafanya biashara ya duka la mangi katika mitaa mbalimbali DSM huwa zinamuhitaji mtu awe na mtaji wa kiasi gani
Mbinu na strategy zipi zinatumika kukua kwa haraka zaidi
ndo nini sasastrategy kubwa kuliko zote,ni usiju kugeuka jambazi kubonoa maduka ya watu
Hii biashara uwe Kauzu kweli kweli ndio utatoboaHiyo biashara nilifirisika hivi hivi, unafanya mauzo ya let's say laki 3 per day kumbe hapo faida ni elfu 10 tu,ukisema ule elfu 20 per day unakula hadi mtaji.
Unahitaji mtu mwenye uchungu nayo sanaHakikisha unafanya wewe kama wewe ukizidiwa wake mke wako. Ila kipaumbele uwe wewe Sio mtu mwingine.
Unakuta mtu Duka limejaa lakini Mke wake Nywele kama Beki TatuBiashara ngumu sana hiyo. Growth yake ni ndogo mno, hasara kidogo tu unatoka nje ya mstari. Inabidi uwe mtumwa wa biashara eti usile vizuri, usivae vizuri, mkeo asisuke. Sasa biashara au kifungo.
HakikaUnahitaji mtu mwenye uchungu nayo sana
Nafikiri ilibidi umshauri kuna mambo ambayo si ya lazima kufanya unapoanza hiyo biashara, nimekulia kwenye hyo biashara wazazi wangu waliendesha vizuri mpaka ikaja kua ya jumla.Biashara ngumu sana hiyo. Growth yake ni ndogo mno, hasara kidogo tu unatoka nje ya mstari. Inabidi uwe mtumwa wa biashara eti usile vizuri, usivae vizuri, mkeo asisuke. Sasa biashara au kifungo.
Hakika yangekuwa hayalipi yasingekuwepo mtaaniNafikiri ilibidi umshauri kuna mambo ambayo si ya lazima kufanya unapoanza hiyo biashara, nimekulia kwenye hyo biashara wazazi wangu waliendesha vizuri mpaka ikaja kua ya jumla.
Brother hyo biashara simamia mwenyewe uchumi wa kiwango cha juu unahitajika hakikisha unapata bei toka kwa masupplier tofauti tofauti ila kupata bei nzuri.
Hayo maduka makubwa unayoona yalianza kama kiduka cha mangi.
molecule2004Hakika yangekuwa hayalipi yasingekuwepo mtaan
Babanguuuu usuke huku tunajengaaa,, bora nikae tuu tupate pa kukaaUnakuta mtu Duka limejaa lakini Mke wake Nywele kama Beki Tatu
Huu msemo unaliza wengi, amini kuwa biashara nyingine zinahenyesha wafanyabiashara ile kujipa imani kuwa itakua wanajikuta wanatumia ziada zao iwe mshahara au mikopo kuihudumia biashara wewe ukikuta muda wote yupo unasema inalipa ingia kichwa kichwa uone motoHakika yangekuwa hayalipi yasingekuwepo mtaani
Unatoa ushauri wa miaka iliyopita. Hao suppliers siku hizi wamekaba sana faida. Si kila opportunity ya zamani inafaa ifuatwe kwa sasa. Kuna alternatives nyingi ambazo zinaweza mtoa mtu kuliko duka la mangi, kwa mtaji ule ule na discipline ileile.Nafikiri ilibidi umshauri kuna mambo ambayo si ya lazima kufanya unapoanza hiyo biashara, nimekulia kwenye hyo biashara wazazi wangu waliendesha vizuri mpaka ikaja kua ya jumla.
Brother hyo biashara simamia mwenyewe uchumi wa kiwango cha juu unahitajika hakikisha unapata bei toka kwa masupplier tofauti tofauti ila kupata bei nzuri.
Hayo maduka makubwa unayoona yalianza kama kiduka cha mangi.
akisuka elfu 10 tu ni faida ya soda zote dukaniUnakuta mtu Duka limejaa lakini Mke wake Nywele kama Beki Tatu