Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Agent nawapataje?Uhakika hakuna Longo longo mzigo unafika vizuri tu tafuta agent wanaosafirisha mizigo kutoka china kuja bongo.
Wapo wengi tu mitandaoni humu inategemea na aina ya mzigo wako kama ni mzito unawatumia wanaosafirisha kwa Meli, wao wanachaji kwa CBM (M³). Kama ni kifurushi chepesi unawatumia wanaosafirisha kwa ndege wao wanachaji kwa Kg.Agent nawapataje?
Inategemea na aina ya mzigo, kama ni mkubwa wa kusafirishwa na meli iyo itachukua hadi mwezi kufika bongo, toka siku meli ilipong'ao nanga bandari ya mzigo ulipotoka.Hellow,
Mlio wahi kuagiza vitu kupitia alibaba hali ipoje je ni kweli bei ina uhalisia na je mzigo uwa unachukua muda gani kukufikia yaani ki ujulma nataka kujua zaidi usalama uaminifu na muda wakupokea mzigo.
...Hujaeleweka Hapo Mkuu. Hebu Fafanua zaidi kidogo. Una maana ya kwamba :Uhakika hakuna Longo longo mzigo unafika vizuri tu tafuta agent wanaosafirisha mizigo kutoka china kuja bongo.