Mliowahi kupigana darasani leteni ushuhuda wenu hapa

Aisee primary nilizichapa na watu wengi mnoo, nakumbuka kuna pambano tulidumu kwa masaa 2 ngoma haijaisha πŸ˜€πŸ˜€. Yaani nilijikutaga napenda sana ngumi sometimes mpaka unatamani uzichape na fulani ila ndo ivo sikua mkorofi, ila ukinigusa tu aisee sijiulizi mara 2 kuingia ulingoni.

Hiyo ni kutoka sijaanza shule mpaka std 6 nikaacha kabisa ugomvi nikawa sharobaroπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Ujana mkuu, watoto wa uswazi tulikua hatuelewi shule kwetu sehemu ya burudani
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23] Kweli mku
"Sehemu ya burudani"
 
Hata mchana watu wanajikojolea lkn [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo mkuu usharobaro na ngumi tofauti?
 
Aah enzi za primary nilishawahi kupigwa vibaya mixer kuangushwa chini na mwenzangu mfupii, sababu ya ufupi wake nilihisi ntammudu ntamdunda wee, kuanzia hapo nikawa muoga zaidi nikisikia dalili ya ugomvi natoka speed kwenda home[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ningekuwepo ningekushauri usipigane nae, maana watu wafup kila sekta wapo vizur
 
Siku ukija na mada ya kurogana nitag tafadhali
 
Siku ukija na mada ya kurogana nitag tafadhali
[emoji1787][emoji1787]Mkuu si ulishaachaga hayo mambo lkn, naskia na kilinge ukawasha[emoji91][emoji91]
 
kipindi nipo darasa la sita... kwenye kukaa tulikua tunapangwa ile wavulana wawili msichana katikati au wasichana na mvulana ili kuepusha kelele. Bhas bwana siku ya ijumaa kama kawaida vipind vichache na unakuta kila mtu karudi kukaa na shosti yake. .
nilipokua nakaa mimi wasichana walikua wawili na mvulana mmoja, sasa tulishajikusanya kupiga umbea mashosti ka ilivyo ada.. Eeee ghafla bin vuu jamaa katoka alipotoka kaja kukaa sasa dawati linabeba watatu yeye wanne kaja jiongeza Aaa tukaona mazinguz tukawa tunamsukuma,sasa si akaanguka na mimi ndio nilikua pembeni yake so alipoibuka na hasira akanivaa mimi tukanza ugomvi jamaa alinibutua mateke ya tumbo..
dah nikainama kusikilizia maumivu uku darasa zima linamwambia umeuaa!! umeuaaa!! aseh kuskia vile nilishikwa na hasira nilimuibukia jamaa na mangumi aliyoshindwa zuia adi tulipokuja amuliwa alishageuka nyanya maana alikua mweupe kukaa kidogo kengele nayo iyoo mda wa usafi...
haha iyo siku ndiyo ilikua mara yangu ya kwanza kupigana skuli
 
Pole pia hongera, mechi yako ya kwanza ukaibuka na ushindi[emoji110]
 
Balaa aisee.. tulikua tunacheza mchezo wa kupiga visoda darasani.. nlikua najifanya mjanja mjanja nkaficha visoda vingine.. alikuja dogo mmoja hivi mgupi alinipiga ngumi moja nzito.. nakumbuka nili shout β€œ kanipiga na jiweeee” ile kugeuka hivi tuanze kuzichapa nakuta dogo keshakimbia zamaniii...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vp mkuu, hukumtafuta?
 
Dah!
Maimuna,
Tuliwahi kuzichapa mara tatu (3) darasani ndani ya siku moja, zote nilipigwa kwa KO.
Alitawala kila idara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mkuu alikubana kila idara[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vp mkuu, hukumtafuta?

Nlimtafuta ila sikufanikiwa ku revenge.. company ake ilkua ni majitu ya miraba minne.. kwa hiyo nikawa nakosa ujasiri wa kum face na baadae alikuja kuhama shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…