Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
😂😂 Mkuu ilikua hakuna anaekubali, yaani kifupi tulitoshana nguvu kabisa kabisa. Kuna muda mashambilizi yanakua kwangu na muda mwingine kwake ila kila mtu alikua anayatoa.Hilo pambano gani la masaa mawili aisee au mlikuwa mnakabana sana 😅! Nakozi za maana haziwezi kumaliza dakika 40 lazma mmoja aombe yaishe.
Hio ilikuwa inaitwa “parling” au kuzipanga “mtu mbike!” Maeneo ya Morogoro Golf Club pale ndio ilikuwa eneo la maangamizi.
Aisee kupigana ni kazi jama ile siku tulichoka mnoo. Ila mapambano yangu mengine hata dk 5 nyingi nishamchapa mpinzani.