Mliowahi kupigana darasani leteni ushuhuda wenu hapa

Mliowahi kupigana darasani leteni ushuhuda wenu hapa

Dah[emoji23] umenikumbusha nipo darasa la 4 shule zetu izi za kidumu na mfagio huku kuna kupishana kukaa kwenye madawati...
Sasa mi nlikua nmekaa chini.. kuna bidada akapita akanikanyaga nkavumilia. Nlikua type hii ya wanafunzi wapole sana class na wanaofanya vizuri, bas bhana ... akaja kupita tena akanikanyaga mara ya pili, nkamshika nkamwambia umenikanyaga mara ya pili sasa ila hakujali.. ani alikua ni wale micharuko ya darasa...


Mara ya tatu alivopita akanikanyaga afu akasimamia apo apo weeeeh!! Kichaa changu cha kipemba kikaamka[emoji23] nkamsukuma huku namwambia umenikanyaga nakuambia huniskii..

Akainuka tukashikana.. nlimshushia migumi ya mgongo mpaka wanadarasa wakafurahi, akaingia ticha watu kimya.. sa alivoona ticha na ile kuwa kaaibishwa maana alikua celebrity wa darasa akaanza kulia..

Ticha kuuliza kulikoni nkamuelezea, nkaambiwa nmekosea kwa hiyo nkachapwa fimbo 6 ila dada ndo aliaminika ndo mchokozi maana kwa hali ya kawaida mimi mpole siwezi kuchokoza mtu.



Tukio jingine hili ndo nliloapa stakuja kuzichapa tena mimi!

Ilikua kipindi nipo form 3.. enzi za ujana ujana na balehe.. as usual nlikua tu mpole na mkimya.. kuna mdada akaanza kunletea pigo za ki se nge .. yani ujinga ujinga tu.. anansema ovyo ovyo kwa watu... yan mpaka watu wanashangaa mi nawezaje kuwa na izo tabia afu nlikua prefect enzi izo..

Kumbe bhana boyfriend nliekuwa nae bi mdada alikua anamtaka na hana njia ya kumpata ... apo npo nae since form 1... akaona njia rahisi ni kunichafua asee nlikonda kwa kuvumilia kejeli za kijinga jinga...

Siku tumetoka skuli nkaona huu u se nge utaisha lini unaniathiri mkimya mimi.. nkasema hapana.. alikua na rafiki ake nkamdaka nkamwambia nna maswali nataka kukuuliza.. tuongee yaishe..


Kheeeh akawa ananijibu vibaya, alipokosea ni pale aliponitukana[emoji856] nlimchapa kofi la uso.. alivoona npo serious akataka tupigane nkajisemea kudadadeki nmevumilia sana ngoja tuheshimiane kidogo...

Mwenzie yupo mbele uko katangulia .. aliponitibua ni aliponkatia vifungo vya shati.. nlimpiga ngumi izo..(wakati nakua nmeishi na kaka zangu kwa hiyo michezo ya ngumi walinifundisha sana na karate na nlikua nafanya mazoezi sana ya mwili... ila msniogope mi mrembo tu [emoji23][emoji23])
Bas nlikua natembea na vile vijiwembe vya surgery nlikitoa nlimchana chana.. mpaka tunakuja kuamuliwa nlikua nmemuumiza sana.. apo wadada walikua waogopa kunishka ilibidi wakaka ndo wanithibiti...
Baada ya kuona ule msala nkabadili njia nduki[emoji23] hawakuniona .. bahati nzuri nlikua na sweta nkavaa nkaenda kupanda gar.. na skwenda shule wiki nzima..

Nlikuja tu kuambiwa mdada kachukua RB polisi na kesi ikaenda shule.. staff nzima haikuamini nlichofanya maana nlikua mpole mno wala sio muongeaji..

Kwa ustaarabu mkuu wa shule akamsihi ile kesi akafuta polisi ikamalizwa kishule.. nkapigwa suspension wiki 3.. na kazi za nje ya darasa wiki 1 nkavuliwa na uongozi na nliondoka na viboko vyangu 8 vya makalio!!!


Mpaka leo nmesema siji kupigana tena mimi hasa na mdada japokuwa juzi kati tu nmekoswa koswa na kupiga mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee.
 
Dah nakumbuk shule ya msingi rafiki yangu alikuja na wali kwenye bag tukapanga tuule mchana tukiruhusiw kwenda nyumban ss skuiyo kuna jamaa alikuja na mpira ikabidi tucheze kwanza ili tukimaliza ndo tule ss mech ikaanza lile bag lenye wali tukaliwek pemben kama mnavy jua wali hauna siri kuna waseeeng wakasikia harufu si wakafungua lile bag muda huo soka limebamba kweli majamaa wakaula ule wali kuja kutahamaki tukaona ule mfuko uliokuw na wali unapepea sindio vita ikaanza sasa aisee tulipigana mno skuile kuna jamaa alikuw anaitw atanas matak yako popot pale ulipo ameniweka alama mpak Leo alinipig mno na chuma ya mwamvuli mpak damu ikatoka
 
Dah nakumbuk shule ya msingi rafiki yangu alikuja na wali kwenye bag tukapanga tuule mchana tukiruhusiw kwenda nyumban ss skuiyo kuna jamaa alikuja na mpira ikabidi tucheze kwanza ili tukimaliza ndo tule ss mech ikaanza lile bag lenye wali tukaliwek pemben kama mnavy jua wali hauna siri kuna waseeeng wakasikia harufu si wakafungua lile bag muda huo soka limebamba kweli majamaa wakaula ule wali kuja kutahamaki tukaona ule mfuko uliokuw na wali unapepea sindio vita ikaanza sasa aisee tulipigana mno skuile kuna jamaa alikuw anaitw atanas matak yako popot pale ulipo ameniweka alama mpak Leo alinipig mno na chuma ya mwamvuli mpak damu ikatoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kutahamaki mfuko unapepea[emoji1787][emoji1787]

Dah sio poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilkuwa sipendi ugomvi,ila nilikuwa nakodisha vifaa vya ugomvi kwa wenzangu kama mabuti nk.

Ila kilichonikuta kwa dem mmoja kibonge baada ya kupigwa na dogo niliye mkodishia mabuti....
 
Screenshot_20220219-114020.jpg
 
Hilo pambano gani la masaa mawili aisee au mlikuwa mnakabana sana [emoji28]! Nakozi za maana haziwezi kumaliza dakika 40 lazma mmoja aombe yaishe.

Hio ilikuwa inaitwa “parling” au kuzipanga “mtu mbike!” Maeneo ya Morogoro Golf Club pale ndio ilikuwa eneo la maangamizi.
Mkuu bila shaka umesoma bungo au mchikichini
 
Darasa lilikua linapiga zogo kinoma, ticha alivyokuja tukapiga kimya akasema watajwe au anachapa Darasa Zima....akagoma akasema Kuna watu walikua wanacheza mpira wa visoda darasani ndo akataja maninja wote tukapigika.

Ticha alivyosepa tukamjia juu tukampa shit, nikamshika Lake Natron akawaka ndo tukazichapa
Daah! Ila we jamaa, eti "lake natron" 😂😂😂
 
Nimekumbuka nilikua na best yangu yeye kuzipiga dk0 tu..alikua anazipanga hadi na wanaume🤣🤣

Kazi yangu ilikua kumshikia viatu na bag 🤣🤣🤣🤣wooiiii
 
Baada ya kumgawia kipigo binti wa darasani alipoleta mambo yasiyo akaenda kushitaki kwa mwalimu wa kiingereza kilichonitokea kilisababisha hadi leo nakichukia kiingereza[emoji6][emoji6]
 
Balaa aisee.. tulikua tunacheza mchezo wa kupiga visoda darasani.. nlikua najifanya mjanja mjanja nkaficha visoda vingine.. alikuja dogo mmoja hivi mgupi alinipiga ngumi moja nzito.. nakumbuka nili shout “ kanipiga na jiweeee” ile kugeuka hivi tuanze kuzichapa nakuta dogo keshakimbia zamaniii...
Jiwe😂😂 ngumi ya chuma nadhani😂
 
Yaaani stories za humu😂 mimi kiukweli kabisa mapambano yote ya primary sijawahi kushinda , kila pambano nilikua nadundwa sababu nilikua chembamba afu nilikua karefuu so ilikua rahisi kunikata mtama nikaanguka mzima mzima😂😂
 
Baada ya kumgawia kipigo binti wa darasani alipoleta mambo yasiyo akaenda kushitaki kwa mwalimu wa kiingereza kilichonitokea kilisababisha hadi leo nakichukia kiingereza[emoji6][emoji6]
Ulikula sticks zisizo na idadi eeh😂😂
 
Back
Top Bottom