Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Safari na Azam Upholstery ni moja kati ya malegendary wachache hapa Bongo kwenye issue ya seat covers na car's interior decorations.
Kazi zao zinavutia sana zikiwa mpya. Sasa nataka mtu mwenye shuhuda baada ya miaka mitatu hadi mitano ya matumizi quality yake inasimamaje?
Ukichukulia gharama zao za Mil 3 kwenda juu, lazima ili swala.mtu atleast ujue.