Mliowahi kushonewa seat covers na Safari au Azam Upholstery: Vipi Quality ya seat baada ya miaka 3-5 ipoje?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Safari na Azam Upholstery ni moja kati ya malegendary wachache hapa Bongo kwenye issue ya seat covers na car's interior decorations.

Kazi zao zinavutia sana zikiwa mpya. Sasa nataka mtu mwenye shuhuda baada ya miaka mitatu hadi mitano ya matumizi quality yake inasimamaje?

Ukichukulia gharama zao za Mil 3 kwenda juu, lazima ili swala.mtu atleast ujue.
 
Kwa upande wangu naona jamaa wapo vizuri japo ndio kwanza mwaka wa pili
 
Hapa hoja yako ni nini??? Au tuone hotipotifamili?

..Ni Hayo Tu!!
 
Kuna local delers aengi wa seat covers mtaani ambao wapo vizuri huwezi amini,kuna jamaa wapo Bamaga waliniundia seat covers,wakashonea dashboard,milango na roof kwa 750,000 na kazi zao zinafanana tu na hao safari
 
wanaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…