Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine
Nisiwe msemaji sana, kuna ile situation ya baadhi ya wanaume kutongozwa na watoto wa kike. Kusema kweli mimi sijawahi kuexperience kitu kama hiki. Mliowahi karibuni kwa shuhuda. Waliwaambia wamewapendea nini? Muonekano, mavazi, uzuri, pesa e.tc Hii nchi ina mambo mengi sana ya kustaajabisha.