Mliowahi kutongozwa na wanawake njooni mtoe shuhuda

Mliowahi kutongozwa na wanawake njooni mtoe shuhuda

Dah kuna Manzi alikuwa anafukuzia mshkaji wangu kitambo hapo kino clan kumbe demu hamuelewi mshkaji halafu kipindi hicho mie naogopa mademu siku hiyo demu kanikuta nimekaa na mshkaji halafu dizain mshkaji kamuuliza demu vipi jibu langu demu akamchana hapo hapo mie sikupendi wewe ila nampenda rafiki yako huko yaani mimi The Transporter basi mshkaji akakubali matokeo demu nimemzagamua sana yaani mpk huyo mumewe namuonea huruma tu huko alipoolewa na mpk kesho anataka show mumewe hamuelewi kabisa
 
Hili swali halina maana, kila mwanaume atasema amewahi katongozwa, mm ntasema nimewahi kutongozwa mara 10, mwingine mara 20, mwingine mara 5, mwingine mara 30, hakuna unyonge. Utaungiwa na story za hapa na pale

Huku kwenye fake id unaamua tu vile unataka kuwa, unaweza kuamua kuwa tajiri, unaweza kuwa maskini, unaweza kuwa mpole, unaweza kuwa mtukutu. Ni ww tu na keyboard yako
 
Niitongozwa na wanawake wawili ila wote wanatabia za hovyo.

Wakwanza alikuwa na Grocery anauza baa, alinitamkia live kipindi fulani,ila nilikuwa na faili lake kwenye kijiwe ninachokaa asilimia 80 walipiga,nikaachana nae.Baada ya miezi kama mitatu naona timbo hilo ana mimba,akajifungua baba wa mtoto hamjui kile anayempa mtoto anamkataa. Akaa kama mwaka na kurudi kwao Tanga.

Huyu wa pili ndio ilikuwa hatari anabonge la figure black beuty,mtu mzima kidogo alikuja kumtembelea mtoto wa mdogo wake,kipindi hiko nimemaliza chuo. Kuna mwana alikuwa anaduka kwenye hiyo nyumba aliyokuwa akiishi huyo mdada.Basi kuna mida huwaga naenda kupiga stori,basi yule dada lazima aje dukani akae nasi mara ajifunue mipaja hiyo imenona, baadae akanifungukia. Nikasema yaani hili zigo lote langu siliachi, basi kwenye ileile nyumba kuna mwana mwengine anakula sana bange sometimes huwaga tunataniana,mida ya night kuna mjumba mmoja mbovu hukaa na kula bange zake. Basi na kumbuka nimetoka zangu kucheki mechi ya UEFA,hapo tumebishana sana kijiweni baada ya mechi kuisha,saba kasoro huyo na rudi home.Kama kawa mwana na mkuta anakula kijiti,ananiita ile kuangalia na muona yule mdada na anakipisi chake anavuta,nikapiga nae stori kidogo huyo nikaamsha.Kesho yale na kutana na mwana ndio ananiambia yule mdada ni mke wa mtu na mumewe anaendesha malori na yy kishapiga. Nikaona hapa sipawezi kwanza demu anakula bange pili mke wa mtu,nikampotezea mazima.
 
Wanawake hutongoza wanaume dhaifu lelel mama soft wakizani ni mademu wenzao wakiamini hawana uwezo wa kuwakataaa ila ukiwa unajielewa kama muuza madafu wa ikulu ni ngumu sana dem kukufata na kukuambia I need u.........kuweni makini mliotongozwa na mademu nahisi mtakuwa .........
 
Dah kuna Manzi alikuwa anafukuzia mshkaji wangu kitambo hapo kino clan kumbe demu hamuelewi mshkaji halafu kipindi hicho mie naogopa mademu siku hiyo demu kanikuta nimekaa na mshkaji halafu dizain mshkaji kamuuliza demu vipi jibu langu demu akamchana hapo hapo mie sikupendi wewe ila nampenda rafiki yako huko yaani mimi The Transporter basi mshkaji akakubali matokeo demu nimemzagamua sana yaani mpk huyo mumewe namuonea huruma tu huko alipoolewa na mpk kesho anataka show mumewe hamuelewi kabisa
Duuh
 
Back
Top Bottom