Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
😂😂Mkuu, mbona unajinong'oneza mwenyewe? Ongezea nyama nyama mkuu. Ilikuaje kuaje?SOFI SITASAHAU SIKU ULIYONIAMBIA UNANIPENDA BILA KUPEPESA MACHO NA LIVEE BILA CHENGA HAKIKA WEWE NI MWANAMKE JASIRI SANA. Ni rahisi jua kuonekana usiku wa manane kuliko mwanamke kukuambia anakupenda.
Au cioWamelala, ngoja wakiamkaa watakuja kutoa shuhuda.
Hiyo ki skuli skuli nazani wote humu wametongozwa mkuuZamani kipind nipo Skuli..
But recently mara nyingi wanaomba contacts then mambo yanaflow mdg mdg.
Ila kunifata face to face kuniambia mambo ya mtongozo hapana.. nakuwa serious sana nikiwa idle.
Nilìkisimulia wakasema ni chai😂😂Mkuu, mbona unajinong'oneza mwenyewe? Ongezea nyama nyama mkuu. Ilikuaje kuaje?
Umemuoa sasa?au mumeishia wali?SOFI SITASAHAU SIKU ULIYONIAMBIA UNANIPENDA BILA KUPEPESA MACHO NA LIVEE BILA CHENGA HAKIKA WEWE NI MWANAMKE JASIRI SANA. Ni rahisi jua kuonekana usiku wa manane kuliko mwanamke kukuambia anakupenda.
Ah wapiUmemuoa sasa?au mumeishia wali?
Dah! Ama kweli, wanawake ni viumbe vya kustaajabishaWadada wengi wanapigia puchu sana picha za wadau sema basi tu vina aibu
Hehee [emoji41]Imenitokea mara kadhaa sababu zao ni.
Unajali sana hustahili kupitia maumivu wakati naekupenda nipo, huyu alikuwa close to me alijua nimevurugana na my wangu akatake advantage, ofcoz alipata alichokitaka ila umbea ukamponza mpaka nikatongozwa na rafiki yake ili ajue kama anayoyasikia kwa shoga ake ni kweli, yaliyomo yamo au hayamo. Hapa nilikuwa maharage ya mbeya kweli kweli.
Mkaka mpole, mstaarabu & usiriazi sana. (sikumzingatia)
Urefu na mpangilio wa mavazi ulimvutia.
Mke wa mtu miaka 8+ imepita hawajafanikiwa kupata mtoto. Ajaribu kuchepukia kwangu kwa mara ya kwanza amechoka manyanyaso[emoji28]. Mke wa mtu sumu sitaki kabisa..
Singo maza mnisamehe mi napenda watoto na wananipenda sana, kuna singo mama wa watoto wa3, wanae wananichangamkiaga sana ankali wao, siku moja yule sisteri acha afunguke" ningekuwa sijazaa hawa watoto ningekuchagua wewe uwe baba wa wanangu nikuzalie watoto wazuri au fanya namna wa 4 awe wako[emoji3] nikamwambia ntarudi kama navyosemaga humu kwenye nyuzi za hadithi.
Currently ni urefu na kabila.
Ujana bye bye.
Ndyo [emoji23][emoji23][emoji23]Au cio
Ngoja tujeZa siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine
Nisiwe msemaji sana, kuna ile situation ya baadhi ya wanaume kutongozwa na watoto wa kike. Kusema kweli mimi sijawahi kuexperience kitu kama hiki. Mliowahi karibuni kwa shuhuda. Waliwaambia wamewapendea nini? Muonekano, mavazi, uzuri, pesa e.tc Hii nchi ina mambo mengi sana ya kustaajabisha.