Mliowahi kutumia pig booster kwa kuku naombeni ushauri hapa

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe!

Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
 
Tumia pig booster tukawauzie wajomba tuwakomoe maana kwao nguruwe ni haramu[emoji2957][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji2957][emoji12][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Alafu utafaidika nn ukifanya hvo? Haki vile Roho mbaya zitatuua Africa 🥲🥲
 
Watu wengine bhana hivi huko unakofugia hakuna wataalam wa mifugo ukawauliza? Au ndio unataka kila mtu ajue kuwa sasa hivi wewe ni mfugaji

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Nyie ndio unaoleta shida za afya kwa watu.
Formula ya nguruwe iweje sawa na ya kuku.
Tumia kuku boosters
Kuku boosters ni zipi?Kumbuka aliyeniambia nizijaribu hizo pig boosters kwa kuku anadai alisomea mifugo
 
Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe!

Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
Kama nyie ndo wafugaji wa kuku tunazolishwa migahawani basi mtatuua mapema aisee. Kuna hoteli moja nilienda nikaagiza nusu kuku lakini hata sikuimaliza sababu alikua mkubwa kweli, minofu minene ila haina radha ya kuku kabisa, ni kama sponji tu, unasikia ile harufu ya viungo ila utamu wa kuku haupo kabisa. Nadhan ndio kuku wanaokuzwa kwa madawa kama hayo unayotaka kujaribu
 
Mim ni mfugaji ndugu, usikilize kilamtu humu. Katumie pig booster na utawafanya kuku wako kukuwa vema kabisa. Mle ndan ya pig booster kuna madin ya muhimu sana kwa kuku na huwez kuyapata kirahisi. Kama ilivyo baadhi ya vitamin kam amino nin sijui ni kwaajili ya mifugo mingi tu ila watu huzan n kwa kuku tuu.
 
Nakushukuru sana,ndugu kwa ushauri!Hadi ninaleta jambo hili hapa kuna "mtaalamu" nimesikia akifafanua kuwa madini yaliyoko ndani ya hivyo pig booster yanawafaa hata kuku!Nadhani watu wamekeleka kwa jina LA hivyo booster linaanza na neno "pig"
 
Hahahaaa!! Daaaah kwa wasiokula kitimoto wanakula kupitia kuku.mpk raha
 
Mim ni mfugaji ndugu, usikilize kilamtu humu. Katumie pig booster na utawafanya kuku wako kukuwa vema kabisa. Mle ndan ya pig booster kuna madin ya muhimu sana kwa kuku na huwez kuyapata kirahisi. Kama ilivyo baadhi ya vitamin kam amino nin sijui ni kwaajili ya mifugo mingi tu ila watu huzan n kwa kuku tuu.
Mdau uko sahihi kabisa
 
Kuku boosters ni zipi?Kumbuka aliyeniambia nizijaribu hizo pig boosters kwa kuku anadai alisomea mifugo
Content zinatofautiana japo sio sana...unaweza itumia kama huna alternative,..I mean huna hizo premix za kuku...it won't hurt but growth or production performance inaweza kuwa chini
 
Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe!

Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
Maumbo mithili ya nguruwe ndio kuwaje mkuu?

Maana tunajua nguruwe ana miguu 4,hana manyoa,ana pua kubwa,ana Meno nane,ana mkia

Sasa huko kusema kuku atakuwa na umbo mithili ya nguruwe unamaanisha atapata hizo sifa alizonazo nguruwe hapo juu au anakuaje
 
Nope!Nilimaanisha atanenepeana
 
Back
Top Bottom