Mliowahi kwenda Mtwara mwezi wa sita nipeni uzoefu. Vibe lake mtaani huwa linakuwaje kuwaje?

Mliowahi kwenda Mtwara mwezi wa sita nipeni uzoefu. Vibe lake mtaani huwa linakuwaje kuwaje?

Nimefanya mazoezi ya kutosha kaka kwa hilo wala sina wasiwasi. Nilikuwa natembea kwa miguu kutoka Tegeta hadi Kariakoo kwa mwezi mmoja kila siku.

Nipo fiti vibaya mno
Kilichobaki ni humu tu humu tu 🤣
 
Mtwara mnaisifia bure Nadhani ni nadharia tu ila hakuna maajabu.nimeishi huku kwa muda kadhaaaa
 
Mtwara mnaisifia bure Nadhani ni nadharia tu ila hakuna maajabu.nimeishi huku kwa muda kadhaaaa
Tunapenda mademu wa kienyeji ambao Mtwara wapo wengi sana na wanapatikana kirahisi kwa gharama nafuu kuliko wa huku mjini Daslamu
 
Back
Top Bottom