Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Toa pesa haraka sanaSawa Mkuu
Toa pesa haraka sanaHofu ni kitu kibaya sana, athari za kiuchumia zitakuwa nyingi sana huko mbele.
Utt amis ni ya serikali hivyo watatumia ubabe Kwa asilimia 100% hiyo ndio habari iliyopo nadhani wa crdb wamekiona kilichowatokeaSasa kama ni kuchukua si watachukua hata zilizopo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii
wabongo hupuuza hata siri za msingi ngoja liwakute jamboKwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ni kuchukua mabilioni ya utt amis hivyo katoeni pesa haraka sana wazee mtakuja kuninikumbuka
Madudu ni wewe toto tundu.Hayo madudu ni watu wa hovyo sana.
Hizo wanaojichukulia kila mara, mfano rejea kikokotoo kipya, Magufuli alijichukuliamo.Sasa kama ni kuchukua si watachukua hata zilizopo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii
Nakulaani kwa majina yote mabaya, namuomba mungu akunyime pesa ila akubariki mshangazi akuuwe kwa umeme.Madudu ni wewe toto tundu.