Ifafanue hii ya CRDB.Utt amis ni ya serikali hivyo watatumia ubabe Kwa asilimia 100% hiyo ndio habari iliyopo nadhani wa crdb wamekiona kilichowatokea
Nilitoa October 57,000,000 nimebakiza 5M
Ifafanue hii ya CRDB.
Ni Ile pesa inayo daiwa kupotea toka akauntibza watu.
Au ile Samia Bond ya CRDB?
Au hisa za CRDB?
Habari za namna hii zinazua taharuki.
Ujinga ni mzigo. Za kuambiwa changanya na zakoTaarifa yoyote inayokuja JF sio ya kubeza.
Huko huwa wanajichukulia kwa kuweka kanuni na taratibu mpya.. mf kikokotoo.Sasa kama ni kuchukua si watachukua hata zilizopo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii