Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
MLIOZALIWA MIAKA YA 90 PUNDE ZAMA YENU ITAPITA IJE KWA VIJANA WA 2000😊
Ni ukweli mchungu ila utumike kama chachu ya kutuamsha na kuelewa kuwa sasa ni zamu yetu TUSILALE
MLIOZALIWA MIAKA YA 90( 1990s) TUONE NGUVU ZENU SASA KWENYE JAMII KABLA ZAMU YA VIJANA WA 2000s HAIJAINUKA 😊
Mtu mdogo aliyezaliwa miaka ya 90 ana miaka 26 huyu kazaliwa 1999 huo umri tayari ni wa kuanza majukumu maana kama ni shule kikawaida imeisha kwa hatua ya msingi ( Shahada) hivyo sio umri wa kujiona tena mtoto
Maisha yana zama na kwa uzoefu ukiangalia waliozaliwa miaka ya 80 mtu mkubwa ana miaka 45 umri ambao tayari kama ni serikalini msongo wa kustaafu taratibu unaanza na baada ya miaka 15 ataachia ofisi hivyo VIJANA WA MIAKA YA 90 HII NI ZAMU YETU KUONEKANA KWENYE JAMII KATIKA UKUBWA WA KUBADILISHA MATOKEO.
Muda si mrefu vijana wa miaka ya 2000 wataingia kwenye zamu yao na kikawaida ikiwa ni zamu yao basi kutakuwa na ugumu mkubwa kwenye ushindani na wewe ambaye zama yako imepita , KILA MTU HUNG'AA KWENYE ZAMA YAKE.
TUFANYE NINI? Tuelewe kuwa hii ni zamu yetu hivyo mapambano yasipungue kasi .
KILA KHERI KWENYE MWAKA 2025
KHERI YA MWAKA MPYA 2025
Mwanasayansi Saul kalivubha
#Mitandaoni fikia ndoto zako