Uchaguzi 2020 Mlipopanga kususa mlijadili haya? Mmejitakia catche 22!

Mleta mada hiyo namba 7 umechemka inaonekana una kichwa kigumu kuelewa...Ina maana hujui kuwa wapinzani waliondolewa kugombea sasa wangeshiriki vipi uchaguzi wakati hawana wagombea??
 
 
Yes, ndiyo maana CCM wanatumia njia mbalimbali kuubaliza uchaguzii huu ila inashindikana - Justification inakuwa ni ngumu mno, yaani ni sawa na ugali wa familia nzima wakususie wewe peke yako !! lazima utakula huku ukikabwa kabwa na matonge huku ukitumla mimacho kushoto na kulia.
 
CCM wahuni tu mimi sikuona haja yakuwanyima fomu wapinzani

Mbona miaka ingine walikuwa hawakosei kipindi cha kikwete

Fomu sio mtihani mtu akikosea anaweza kujaza upya ndio hata wanafunzi wanaojaza fomu za mikopo wakikosea majina yao yanatolewa wanajaza upya

Hata bengi watu wakikosea kujaza fomu yakuweka au kutoa pesa wanarudia

Binadamu si malaika
Hata wewe ulieandika hapa unamapungufu tu mengi

CCM WAMEFANYA UHUNI TU kwenye uchaguzi
Kama hamtaki upinzani futeni

Hata mkibaki pekeyenu mtauana tu ndio maana Jiwe alisema walimuwekea sumu sio hao hao CCM
 
Umesema kweli Mkuu, hakuna wapinzani wa kweli. Hata tukiwachagua wanarudi chama tawala kuunga mkono juhudi za muheshiwa
Sasa si ndio hapa mkuu
mfano kumpa Lowasa kugombea urais mtu waliyemtuhumu ufisadi kwa miaka 10 lilikuwa kosa kubwa sana
 

Kama hujali kabisa kwa wao kujitoa,then why kinakuuma sana wao kujitoa?

Yanini unaumia sana wao kujitoa?

Dawa imekuingia ndio maana!

Wewe endelea na uchaguzi,hii makelele yote ni kwamba hii punch imeingia vya kutosha!

Subiri next episode!

Nyie mnacheza drafti wakati Ukawa inacheza chess!

Msidhani wenye akili ni nyie tu!Kua na serikali hakuwafanyi ukilaza wenu usionekane!
 
Hahahaaaaa, hivi inakuaje kuwashwa awashwe mwenzio, halafu wewe jirani yake ndio ujikune?
 
Chadema kususia uchaguzi ni pigo kubwa kwa wasaka tonge wa CCM. Nawahurumia sana vjna wa uvccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…