kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi. Inadaiwa ni Iran keshafanya yake.
BREAKING
3 Israelis died in a car explosion in Ashkelon, Israeli media talks about assassination
Iran imekua na majasusi wengi sana ndani ya mifumo ya Israel hadi jeshini, mnamkumbuka yule waziri wa Israel ambaye alikua ni pandikizi la Iran kwa miaka 20?
Hii sio mara ya kwanza kwa Iran kudaiwa kuwassasinate viongozi wa Israel washawaua viongozi kadhaa wa mossad mara kadhaa kwa milipuko ya aina hii.