Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

Acha kulalamika si ujifungie kwenye kibanda chako na familia yako ili msiambukizwe? Mapovu ya nini?
 
Na bado.......tukitengwa mwenzenu ataenda chattel kupumzika maana kajiandalia kila kitu kule je ww mnyonge utafanya nn ....
 
Acha UKUDA

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nimejiridhisha pasi na shaka wewe ni Paul Albert bashite [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una uhakika gani kwamba hao watu watatu kweli ni Watanzania? Hii ni vita ndugu, usimwamini Mkenya 100% mengine inaweza kuwa ni propaganda tu. Approach ya Rais Magufuli na Kenyatta kwenye swala la korona ziko tofauti. Inawezekana kukawa Kuna namna inatengezwa kuvuta attation ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umeshindwa kujifungia nyumbani kwenu na ukoo wenu mzima ili muishi milele??
Eti anasubiria hadi rais amwambie ajifungie ndani,ndio atajifungia ndani.

Jamaa wana akili matope sana
 
Hata USA pamoja na kuwa na cases nyingi wanawatahadharisha raia wao waondoke Tanzania haraka. Sisi ngozi nyeusi tutazidi kudharaulika popote duniani mpaka tutakapobadilisha fikra na namna tunavyoendesha maisha yetu kwa ujumla.
 
Hata USA pamoja na kuwa na cases nyingi wanawatahadharisha raia wao waondoke Tanzania haraka. Sisi ngozi nyeusi tutazidi kudharaulika popote duniani mpaka tutakapobadilisha fikra na namna tunavyoendesha maisha yetu kwa ujumla.
Vipi wewe hujaondoka TZ unasubiri nini?
 

Jamani kuweni makini na habari zinazo tolewa na wenzetu wa Kenya, habari zenyewe hazina logic yoyote zaidi ya kuwa na lengo la kutaka kuidhalilisha Tanzania kwa kutoa impression kwamba Tanzania kuna wagonjwa wengi kuliko Kenya - nawahakikisheni kwamba habari hizi kutoka Kenya zina a hidden agenda si bure - ni Mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kwenda kwenye Taifa lenye maambukizi ya Corona kwenye miji zaidi ya moja.
 

Well said, na hicho ndicho kinacho endelea nyuma ya pazia - baadhi ya wenzetu Wakenya wana hila nyingi sana zenye lengo la ku-undermine malengo yetu ya kiuchumi.
 
tutajikuta tukikabiliwa na changamoto ya kubaguliwa. Lazima kama nchi tuonyeshe mshikamano na wenzetu na kuonyesha kujali juu ya janga hili
G Sam
Inawezekana sana wasomaji wengi wasikuelewe, kwa sababu ni kama umechanganya mambo mawili kwa pamoja.

Mimi nimevutiwa na hilo uliloandika kwenye mstari huo niliou'quote'.

Rais kasema mipaka yetu ipo wazi kwa yeyote kutoka au kuingia. Wenzetu wengi wanaotuzunguka wao wamefunga.
Rwanda wamefunga, Uganda wamefunga; Kenya wamefunga.

Sijasikia Burundi, Malawi, Zambia, DRC na Mozambique.

Kwa hao waliofunga, halafu sisi tuwalazimishe kwenda kwao, inaleta maana hiyo? Au wao waje kwetu kuokota ugonjwa, inaingia akilini hiyo?

Lakini Rais wetu katangaza, pengine kuna maana yake nyingine.

Hiyo habari ya waChina inasikitisha. Ngoja tusubiri taarifa zaidi zijipambanue, huenda tukalielewa hili jambo vizuri zaidi kuhusu tabia za hawa watu.

Mimi hainipi shida sana kujua kwa uhakika kuwa Mchina ni mbaguzi. Kinachonipa shida ni kujificha, akijionyesha kuwa ni rafiki kumbe ni mbaguzi.

Hawa watu tulikuwa hatuwafahamu hadi hivi karibuni, kwani hatujawahi kuishi nao kwa mda kuwajua wao ni watu wa aina gani. Naona hata wao ni kama bado wanajifunza, hawajui sisi ni watu wa namna gani, ndio maana wanafikia hata hatua za kucharaza watu wazima viboko makazini.

Tutawajua tu, tabia za kibaguzi haziwezi kujificha hata kidogo.
 
Lakini si kuna wawili wametoka Bara wakagundulika kuwa na ugonjwa visiwani, hao nao ni 'propaganda'?

Ndiyo, nyakati kama hizi kuna uwezekano wa michezo michafu, ndio maana ya kuwa na uangalifu mkubwa na kuweka umakini katika kuziba mianya ya kizembe inayoweza kukuharibia sifa yako.

Kama kila mtu anaona kwako ni mzobe mzobe tu, kwa nini watu wasiamini yanayosemwa juu yako!
 
Kenya si wanadai wamefunga mipaka sasa inakuaje watu wameingia?

Anayetaka kujifungia akae ndani na familia yake sisi wengine tunadunda tu hayo mafua ya mizungu yanaua mizungu na mizungu ya Africa, Kenya, ambako waliouwawa kwa shurti ya polisi ni wengi hadi sasa kuliko corona yenyewe.
 
Duuuuh wewe jamaa ni bure kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…