Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

TATIZO la Tanzania kumekuwa na MILUZI mingi kutoka Kwa viongozi wetu wa kisiasa ndiyo maana mbwa(WANANCHI) wanapotea Kwa kutojua yupi wa kumsikiliza,Leo atakuja MAKONDA na ushauri wake na kesho atakuja ummy mwalimu, waziri Mkuu na msemaji Mkuu wa serikali na kauli zao Kwa style hiyo usitegemee kupata data sahihi.

Wagonjwa bado ni wengi jamani na hiyo yote imesababishwa na wanasiasa
Acha kulalamika si ujifungie kwenye kibanda chako na familia yako ili msiambukizwe? Mapovu ya nini?
 
Na bado.......tukitengwa mwenzenu ataenda chattel kupumzika maana kajiandalia kila kitu kule je ww mnyonge utafanya nn ....
 
Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo.

Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na kuripoti visa vipya 5 vya ugonjwa wa COVID 19 huku watatu kati yao wakisafiri kutokea Tanzania. Hatujui watu hao pengine walisafiri kutokea wapi? Kwa kutumia usafiri gani? Walipitia mpaka upi? Wenye dhamana wapo kimya?

Ni aibu kubwa kuwa sisi hapa nchini tunapima watu na kufuatilia waathirika kwa kujivuta sana huku ikiwa ni kama tunalazimishwa kufanya hivyo. Aidha kama nchi tumeonyesha uzembe wa kukusudia kupambana na janga hili. Kuanzia kauli ya Rais mwenyewe, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam na watu wengine zinaiacha Tanzania kama nchi ya mzaha mzaha kwenye hili.

Ni lazima kama nchi na baadhi yetu tunaoelewa mambo tukiri kuwa serikali ya awamu ya tano imekuwa haijali pale linapotokea janga sehemu fulani ndani ha nchi. Hili nalo ni pigo kubwa na la fedheha kwa watanzania hasa tukitazama namna ambavyo serikali zilizopita zimekuwa zikikabiliana na majanga. Hivyo ni lazima mtu mmoja mmoja kwenye jamii kiliangalia hili kwa umakini mkubwa huku tukijikumbusha kuwa linapotokea janga (huko nyuma) watu tunaachwa tujipambanie kivyetu. Akili kumkichwa, ukizembea umeachwa!

Nalazimika kuandika haya baada pia ya kufuatilia yanayotokea Guangzhou China baada ya kukutana na kisa hiki cha mwana Jf aishiye huko.
View attachment 1414678

Haya yanaanza baada ya China kugundua kuwa imported cases za COVID 19 kwa sasa zinatokea Afrika. Watu wataanza kuangalia nani anayezembea na kupeleka maambukizi kwa wenzao. Wakianza hivyo baada ya hasira za kutokana na kushindwa kufanya mambo ya msingi kwa kufungiwa, aidha kupoteza ndugu na marafiki basi tutajikuta tukikabiliwa na changamoto ya kubaguliwa. Lazima kama nchi tuonyeshe mshikamano na wenzetu na kuonyesha kujali juu ya janga hili.
Acha UKUDA

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Naona unahangaika kweli kila baada ya muda mfupi unakuja na mada ya corona kuonyesha Tanzania hatufanyi vizuri katika kupambana na corona. Hivi kwenye ukoo wenu wameambukizwa wangapi? Na wamekufa wangapi? Au kinga za ukoo wenu ziko chini sana?

Ukinijibu maswali yangu hayo hapo juu nitakusaidia ama nikuelekeze tiba ya ugonjwa wa corona au kinga yake. Karibu niko hapa Mbezi napata bia mbili nikalale. Hapa Kazi Tu!!
Nimejiridhisha pasi na shaka wewe ni Paul Albert bashite [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia uzembe upo. Kinachosemwa kwa mdomo na manahodha wetu wanaoongoza vita hii ni tofauti kabisa na matendo!!

Hebu cheki hii;

1. MTU anashuka na ndege uwanja wa JNIA - DSM akitokea nje ya nchi, anapita bila shida kwenye check up zote, anaingia mitaani na kusafiri hadi Mwanza kwa barabara. Three days later anafika Mwanza, anapimwa na kugundulika ni COVID-19 positive...!!

Huyu amewapumulia hewa yake yq ndani yenye virusi wangapi on his way?

TAMKO LA SERIKALI LILIKUWA:
Wote wanaoingia nchini toka nje watawekwa quarantine kwa siku 14 na baadaye wakipimwa na kuthibitika ni salama wataruhusiwa kuingia mitaani na kuendelea na shughuli zao

UTEKELEZAJI?
.......Kwa ushahidi wa mtu huyu, kwa hakika ni ZERO na una mashaka makubwa!
.......I am convinced kuwa ndani ya serikali kuna mawakala (AGENTS) waliopewa jukumu maalumu kuhakikisha ugonjwa huu unasambaa kwa Watanzania wore!!

2. Watanzania wa3 kuingia Kenya na walipopimwa wakagundulika kuwa ni COVID-19 positive...

......kama ulivyosema haijulikani wametokea mpaka upi na kisha kuingia Kenya; je, ni Rombo - Kilimanjaro? Sirari - Tarime - Mara? Arusha kule.....??

.....the big question ni hili; hawa watu wa3 wote wakiwa wagonjwa wametokea wapi? Je, ni wale miongoni mwa 25 walio ktk quarantine wametoroka? Ni nini kusudi lao kuingia nchi nyingine wakiwa wagonjwa? Huku walikotoka "wamewapulia" wangapi na kuwaambukiza?

.....all in all, we as a country, tumefunuliwa na wenzetu wa Kenya kuwa lipo Tatizo nchini mwetu ktk kushughulikia tatizo hili!!

IPO shida mahali. Kuna mambo serikali haisemi. Likely situation ni worse than we are told....!!
Wewe una uhakika gani kwamba hao watu watatu kweli ni Watanzania? Hii ni vita ndugu, usimwamini Mkenya 100% mengine inaweza kuwa ni propaganda tu. Approach ya Rais Magufuli na Kenyatta kwenye swala la korona ziko tofauti. Inawezekana kukawa Kuna namna inatengezwa kuvuta attation ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umeshindwa kujifungia nyumbani kwenu na ukoo wenu mzima ili muishi milele??
Eti anasubiria hadi rais amwambie ajifungie ndani,ndio atajifungia ndani.

Jamaa wana akili matope sana
 
Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo.

Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na kuripoti visa vipya 5 vya ugonjwa wa COVID 19 huku watatu kati yao wakisafiri kutokea Tanzania. Hatujui watu hao pengine walisafiri kutokea wapi? Kwa kutumia usafiri gani? Walipitia mpaka upi? Wenye dhamana wapo kimya?

Ni aibu kubwa kuwa sisi hapa nchini tunapima watu na kufuatilia waathirika kwa kujivuta sana huku ikiwa ni kama tunalazimishwa kufanya hivyo. Aidha kama nchi tumeonyesha uzembe wa kukusudia kupambana na janga hili. Kuanzia kauli ya Rais mwenyewe, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam na watu wengine zinaiacha Tanzania kama nchi ya mzaha mzaha kwenye hili.

Ni lazima kama nchi na baadhi yetu tunaoelewa mambo tukiri kuwa serikali ya awamu ya tano imekuwa haijali pale linapotokea janga sehemu fulani ndani ha nchi. Hili nalo ni pigo kubwa na la fedheha kwa watanzania hasa tukitazama namna ambavyo serikali zilizopita zimekuwa zikikabiliana na majanga. Hivyo ni lazima mtu mmoja mmoja kwenye jamii kiliangalia hili kwa umakini mkubwa huku tukijikumbusha kuwa linapotokea janga (huko nyuma) watu tunaachwa tujipambanie kivyetu. Akili kumkichwa, ukizembea umeachwa!

Nalazimika kuandika haya baada pia ya kufuatilia yanayotokea Guangzhou China baada ya kukutana na kisa hiki cha mwana Jf aishiye huko.
View attachment 1414678

Haya yanaanza baada ya China kugundua kuwa imported cases za COVID 19 kwa sasa zinatokea Afrika. Watu wataanza kuangalia nani anayezembea na kupeleka maambukizi kwa wenzao. Wakianza hivyo baada ya hasira za kutokana na kushindwa kufanya mambo ya msingi kwa kufungiwa, aidha kupoteza ndugu na marafiki basi tutajikuta tukikabiliwa na changamoto ya kubaguliwa. Lazima kama nchi tuonyeshe mshikamano na wenzetu na kuonyesha kujali juu ya janga hili.
Hata USA pamoja na kuwa na cases nyingi wanawatahadharisha raia wao waondoke Tanzania haraka. Sisi ngozi nyeusi tutazidi kudharaulika popote duniani mpaka tutakapobadilisha fikra na namna tunavyoendesha maisha yetu kwa ujumla.
 
Vipi wewe hujaondoka TZ unasubiri nini?
 
Kiuhalisia uzembe upo. Kinachosemwa kwa mdomo na manahodha wetu wanaoongoza vita hii ni tofauti kabisa na matendo!!

Hebu cheki hii;

1. MTU anashuka na ndege uwanja wa JNIA - DSM akitokea nje ya nchi, anapita bila shida kwenye check up zote, anaingia mitaani na kusafiri hadi Mwanza kwa barabara. Three days later anafika Mwanza, anapimwa na kugundulika ni COVID-19 positive...!!

Huyu amewapumulia hewa yake yq ndani yenye virusi wangapi on his way?

TAMKO LA SERIKALI LILIKUWA:
Wote wanaoingia nchini toka nje watawekwa quarantine kwa siku 14 na baadaye wakipimwa na kuthibitika ni salama wataruhusiwa kuingia mitaani na kuendelea na shughuli zao

UTEKELEZAJI?
.......Kwa ushahidi wa mtu huyu, kwa hakika ni ZERO na una mashaka makubwa!
.......I am convinced kuwa ndani ya serikali kuna mawakala (AGENTS) waliopewa jukumu maalumu kuhakikisha ugonjwa huu unasambaa kwa Watanzania wore!!

2. Watanzania wa3 kuingia Kenya na walipopimwa wakagundulika kuwa ni COVID-19 positive...

......kama ulivyosema haijulikani wametokea mpaka upi na kisha kuingia Kenya; je, ni Rombo - Kilimanjaro? Sirari - Tarime - Mara? Arusha kule.....??

.....the big question ni hili; hawa watu wa3 wote wakiwa wagonjwa wametokea wapi? Je, ni wale miongoni mwa 25 walio ktk quarantine wametoroka? Ni nini kusudi lao kuingia nchi nyingine wakiwa wagonjwa? Huku walikotoka "wamewapulia" wangapi na kuwaambukiza?

.....all in all, we as a country, tumefunuliwa na wenzetu wa Kenya kuwa lipo Tatizo nchini mwetu ktk kushughulikia tatizo hili!!

IPO shida mahali. Kuna mambo serikali haisemi. Likely situation ni worse than we are told....!!

Jamani kuweni makini na habari zinazo tolewa na wenzetu wa Kenya, habari zenyewe hazina logic yoyote zaidi ya kuwa na lengo la kutaka kuidhalilisha Tanzania kwa kutoa impression kwamba Tanzania kuna wagonjwa wengi kuliko Kenya - nawahakikisheni kwamba habari hizi kutoka Kenya zina a hidden agenda si bure - ni Mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kwenda kwenye Taifa lenye maambukizi ya Corona kwenye miji zaidi ya moja.
 
Wewe una uhakika gani kwamba hao watu watatu kweli ni Watanzania? Hii ni vita ndugu, usimwamini Mkenya 100% mengine inaweza kuwa ni propaganda tu. Approach ya Rais Magufuli na Kenyatta kwenye swala la korona ziko tofauti. Inawezekana kukawa Kuna namna inatengezwa kuvuta attation ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Well said, na hicho ndicho kinacho endelea nyuma ya pazia - baadhi ya wenzetu Wakenya wana hila nyingi sana zenye lengo la ku-undermine malengo yetu ya kiuchumi.
 
tutajikuta tukikabiliwa na changamoto ya kubaguliwa. Lazima kama nchi tuonyeshe mshikamano na wenzetu na kuonyesha kujali juu ya janga hili
G Sam
Inawezekana sana wasomaji wengi wasikuelewe, kwa sababu ni kama umechanganya mambo mawili kwa pamoja.

Mimi nimevutiwa na hilo uliloandika kwenye mstari huo niliou'quote'.

Rais kasema mipaka yetu ipo wazi kwa yeyote kutoka au kuingia. Wenzetu wengi wanaotuzunguka wao wamefunga.
Rwanda wamefunga, Uganda wamefunga; Kenya wamefunga.

Sijasikia Burundi, Malawi, Zambia, DRC na Mozambique.

Kwa hao waliofunga, halafu sisi tuwalazimishe kwenda kwao, inaleta maana hiyo? Au wao waje kwetu kuokota ugonjwa, inaingia akilini hiyo?

Lakini Rais wetu katangaza, pengine kuna maana yake nyingine.

Hiyo habari ya waChina inasikitisha. Ngoja tusubiri taarifa zaidi zijipambanue, huenda tukalielewa hili jambo vizuri zaidi kuhusu tabia za hawa watu.

Mimi hainipi shida sana kujua kwa uhakika kuwa Mchina ni mbaguzi. Kinachonipa shida ni kujificha, akijionyesha kuwa ni rafiki kumbe ni mbaguzi.

Hawa watu tulikuwa hatuwafahamu hadi hivi karibuni, kwani hatujawahi kuishi nao kwa mda kuwajua wao ni watu wa aina gani. Naona hata wao ni kama bado wanajifunza, hawajui sisi ni watu wa namna gani, ndio maana wanafikia hata hatua za kucharaza watu wazima viboko makazini.

Tutawajua tu, tabia za kibaguzi haziwezi kujificha hata kidogo.
 
Jamani kuweni makini na habari zinazo tolewa na wenzetu wa Kenya, habari zenyewe hazina logic yoyote zaidi ya kuwa na lengo la kutaka kuidhalilisha Tanzania kwa kutoa impression kwamba Tanzania kuna wagonjwa wengi kuliko Kenya - nawahakikisheni kwamba habari hizi kutoka Kenya zina a hidden agenda si bure - ni Mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kwenda kwenye Taifa lenye maambukizi ya Corona kwenye miji zaidi ya moja.
Lakini si kuna wawili wametoka Bara wakagundulika kuwa na ugonjwa visiwani, hao nao ni 'propaganda'?

Ndiyo, nyakati kama hizi kuna uwezekano wa michezo michafu, ndio maana ya kuwa na uangalifu mkubwa na kuweka umakini katika kuziba mianya ya kizembe inayoweza kukuharibia sifa yako.

Kama kila mtu anaona kwako ni mzobe mzobe tu, kwa nini watu wasiamini yanayosemwa juu yako!
 
Kenya si wanadai wamefunga mipaka sasa inakuaje watu wameingia?

Anayetaka kujifungia akae ndani na familia yake sisi wengine tunadunda tu hayo mafua ya mizungu yanaua mizungu na mizungu ya Africa, Kenya, ambako waliouwawa kwa shurti ya polisi ni wengi hadi sasa kuliko corona yenyewe.
 
Duuuuh wewe jamaa ni bure kabisa

Back
Top Bottom