Magari yamesimamishwa hakuna linalotoka Dar au tokea kusini linaloruhisiwa kupita,foleni ni kubwa sana,tumekaa takribani masaa 3Uchumi wa gesi!
Mungu aepushe maafa.
Giza likiingia,zoezi litaendelea kesho.
Duh poleni sana.Magari yamesimamishwa hakuna linalotoka Dar au tokea kusini linaloruhisiwa kupita,foleni ni kubwa sana,tumekaa takribani masaa 3