Tetesi: Mlipuko watokea Songas Somanga

Tetesi: Mlipuko watokea Songas Somanga

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanajamvi?
Kuna habari zinadai kuna mlipuko wa moto maeneo ya Songas Somanga. Inadaiwa wafanyakazi wote wamekimbia eneo hilo. Inadaiwa kuna mungurumo mkubwa unaosikika zaidi ya kilomita 10 kutoka kituo hicho. Tunaomba walio karibu na kituo hicho maeneo ya Somanga na Njia nne mutujuze zaidi hali ikoje hapo
 
Jamani hakuna memba ambao mpo maeneo hayo?
 
Back
Top Bottom