Naunga mkono hoja Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki.
Mzee wa Voice Within unajua kubadilika sanaNaunga mkono hoja Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
Kama TAL ni mpango wa Mungu,nashauri awe handled with maximum care,asije akaponza watu wakafutiwa vibali!。
P
Kibali gani mkuu ? Unaweza kufunguka zaidi kwa sisi wenye uelewa mdogoNaunga mkono hoja Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
Kama TAL ni mpango wa Mungu,nashauri awe handled with maximum care,asije akaponza watu wakafutiwa vibali!。
P
Akaponza watu😁Kama TAL ni mpango wa Mungu,nashauri awe handled with maximum care,asije akaponza watu wakafutiwa vibali!。
Mzee Paschal hatujaona bandiko lako la hekima na busara juu ya sakata linaloendelea
Ni kweli kabisa kwasababu Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania 2025. The Voices From Within: Tundu Lissu ni Mpango wa Mungu, NRNE ni Mpango wa Shetani, ni li Pepo! Limemkumba Lissu!, Akiachana Nalo, Anatinga Ikulu 2025!Yeyote anayeshindana na tundu lissu atakwenda na maji!
Acha upumbavu kufa ni mpango wa Mungu, hata we unaweza usifike jioni ya leoMlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki.
Yule aliyekuwa katibu wa CCM wakati wa Magufuli ndugu zake nakumbuka wakilia na kufanya maombi ili Dr Bashiru apone Covid. Nakumbuka waliweka mpaka prayer line ndugu zake na huyu mwizi wa kura na mnunuzi wa wapinzani alikuwa analia na kutubu sasa katulia tuli. Msijisahau. Mungu yupo
Msije kufikiri kudanganya watu hapa itasaidia au uchawa utasaidia. Mungu metoa nafasi kwa viongozi hawa wasiko jirekebisha watakipata tutawasahau. Mjue Mungu anamtoa Mpango ambaye ni makamu kwasababu ya usafi wake hata Covid yeye alipona na kuanzia hapo ni mpole kweli kweli na ndiyo maana kajitoa anajua hili ni bomu No reform no election naona wengi hamjaielewa bado ni kitu cha imani kuliko ujeshi jeshi
Wote wapenda haki Mungu atawasaidia bila kujali vyama wakina Warioba ni watu wakubarikiwa sana
Halafu wengine wako humuhumuMlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki.
Yule aliyekuwa katibu wa CCM wakati wa Magufuli ndugu zake nakumbuka wakilia na kufanya maombi ili Dr Bashiru apone Covid. Nakumbuka waliweka mpaka prayer line ndugu zake na huyu mwizi wa kura na mnunuzi wa wapinzani alikuwa analia na kutubu sasa katulia tuli. Msijisahau. Mungu yupo
Msije kufikiri kudanganya watu hapa itasaidia au uchawa utasaidia. Mungu metoa nafasi kwa viongozi hawa wasiko jirekebisha watakipata tutawasahau. Mjue Mungu anamtoa Mpango ambaye ni makamu kwasababu ya usafi wake hata Covid yeye alipona na kuanzia hapo ni mpole kweli kweli na ndiyo maana kajitoa anajua hili ni bomu No reform no election naona wengi hamjaielewa bado ni kitu cha imani kuliko ujeshi jeshi
Wote wapenda haki Mungu atawasaidia bila kujali vyama wakina Warioba ni watu wakubarikiwa sana
Haya majambazi hayajifunzi kabisaMlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki.