Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
haiwezi tokea ndo kwanza anaweka mambo sawa na anapitaYanga washaaga hapa akuna cha ziada.Yanga hii iliyojaa wagonjwa,wazee na walevi aina uwezo wa kufuzu kwenda robo.
Yanga akipita uniite Amdala bichwa ndevu.haiwezi tokea ndo kwanza anaweka mambo sawa na anapita
Oya wako kimya km sio wao! kweli hawana bando?Washapita huoni wanaongoza kundi