Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Wewe ni KE sio mbaya.hyo radio ina ukubwa gani hata jembe fm inaishinda
labda awe huru achague kuwa gal or womanWewe ni KE sio mbaya.
Endelea kuota hivo hivo wenzio wanatusuahyo radio ina ukubwa gani hata jembe fm inaishinda
Haibadilishi kuwa video ya kokoro haina maadili. Unaposifia kitu kinachoharibu maadili ya mtanzania na udhalilishaji wa mwanamke kwa kigezo cha soko si uungwana.Watu wengi hawajui kuwa WCB wanatoa nyimbo kwa kuangalia target ni wapi,ndio maana Kokoro hawaipi sana promo home kwavile huu mzigo unasimamiwa na wajuzi wa hizi kazi (UMG) kimataifa, na ndio hata malengo ya wimbo marry you ya MOND na NE YO inachezwa mbele sio bongo.
Home video haipigwi kwasababu za kimaadiliWatu wengi hawajui kuwa WCB wanatoa nyimbo kwa kuangalia target ni wapi,ndio maana Kokoro hawaipi sana promo home kwavile huu mzigo unasimamiwa na wajuzi wa hizi kazi (UMG) kimataifa, na ndio hata malengo ya wimbo marry you ya MOND na NE YO inachezwa mbele sio bongo.
WimboNyimbo imekaa kimbele zaidi inastahil
Maadili ya Mtanzania ndio yakoje?Haibadilishi kuwa video ya kokoro haina maadili. Unaposifia kitu kinachoharibu maadili ya mtanzania na udhalilishaji wa mwanamke kwa kigezo cha soko si uungwana.
**Hili sio jambo la kuigwa kwa wasanii
Basata waliifungia na kumpa onyo snura na Ney wa mitego.