Mlisema siyo kokoro sasa Mavoko amekuwa kokoro

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
d83901b97dba5be5a8206c252fb92ba7.jpg

Haya,Kokoro inakimbiza.
 
WCB wanajua soko la kimataifa linahitaji nini ndo maana wanatuaua
Kokoro itafika mbali kuliko nyimbo zote zilitoka hivi karibuni msigo unasimamiwa na Universal Music Group
 
Watu wengi hawajui kuwa WCB wanatoa nyimbo kwa kuangalia target ni wapi,ndio maana Kokoro hawaipi sana promo home kwavile huu mzigo unasimamiwa na wajuzi wa hizi kazi (UMG) kimataifa, na ndio hata malengo ya wimbo marry you ya MOND na NE YO inachezwa mbele sio bongo.
 
Ngoja waje watasema na hizo redio stations amenunua maana huyu simba ni hatari ye ananunua kila kitu#wazee wa manunuzi
 
Watu wengi hawajui kuwa WCB wanatoa nyimbo kwa kuangalia target ni wapi,ndio maana Kokoro hawaipi sana promo home kwavile huu mzigo unasimamiwa na wajuzi wa hizi kazi (UMG) kimataifa, na ndio hata malengo ya wimbo marry you ya MOND na NE YO inachezwa mbele sio bongo.
Haibadilishi kuwa video ya kokoro haina maadili. Unaposifia kitu kinachoharibu maadili ya mtanzania na udhalilishaji wa mwanamke kwa kigezo cha soko si uungwana.
**Hili sio jambo la kuigwa kwa wasanii
Basata waliifungia na kumpa onyo snura na Ney wa mitego.
 
Home video haipigwi kwasababu za kimaadili
 
Haibadilishi kuwa video ya kokoro haina maadili. Unaposifia kitu kinachoharibu maadili ya mtanzania na udhalilishaji wa mwanamke kwa kigezo cha soko si uungwana.
**Hili sio jambo la kuigwa kwa wasanii
Basata waliifungia na kumpa onyo snura na Ney wa mitego.
Maadili ya Mtanzania ndio yakoje?

Wale wanawake kwenye hiyo video walilazimishwa?

Kwa nini wanawake wenyewe walioigiza sijasikia wakilalamika kuzalilishwa?

Na kwa nini wanaolalamika video haina maadili wengi ni wanaume?
 
Back
Top Bottom