Mlisema siyo kokoro sasa Mavoko amekuwa kokoro

Mlisema siyo kokoro sasa Mavoko amekuwa kokoro

Haibadilishi kuwa video ya kokoro haina maadili. Unaposifia kitu kinachoharibu maadili ya mtanzania na udhalilishaji wa mwanamke kwa kigezo cha soko si uungwana.
**Hili sio jambo la kuigwa kwa wasanii
Basata waliifungia na kumpa onyo snura na Ney wa mitego.
Stupid very stupid ukitaka maadili jifungie kwako zuia utandawazi maadili bongo mnaupokea utandawazi impact yake mnaikataa very stupid
 
Haibadilishi kuwa video ya kokoro haina maadili. Unaposifia kitu kinachoharibu maadili ya mtanzania na udhalilishaji wa mwanamke kwa kigezo cha soko si uungwana.
**Hili sio jambo la kuigwa kwa wasanii
Basata waliifungia na kumpa onyo snura na Ney wa mitego.
Ww mwenyewe kila siku unajikunja Ku angalia porno unataka maadili gani
 
Watu wengi hawajui kuwa WCB wanatoa nyimbo kwa kuangalia target ni wapi,ndio maana Kokoro hawaipi sana promo home kwavile huu mzigo unasimamiwa na wajuzi wa hizi kazi (UMG) kimataifa, na ndio hata malengo ya wimbo marry you ya MOND na NE YO inachezwa mbele sio bongo.
Umewahi kufika mbele.... Huko zinapigwa nyimbo za kwenye billboard top 100 tu.. Jipeni moyo.. Neyo shoga tuu
 
Ila team KibA na wapumuliwaji hawapendi kabisa taarifa kama hizi jaman
 
Umewahi kufika mbele.... Huko zinapigwa nyimbo za kwenye billboard top 100 tu.. Jipeni moyo.. Neyo shoga tuu
Ukimaliza sumu iliyopo mwilini mwako dhidi ya huyu mtu, nakuongezea sumu nyingine hii hapa,sitaki sumu ikupungue.(Kama nakuona jinsi unavyotaka kujinyonga.)

Back
Top Bottom