Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

PakaJimmy na wote mliokuja Tanga mmebaki kwenye mioyo yetu na tumewaaandika na kalamu isiyofutika kamwe.

We hope to see you soon, you are all cute and charming that hamuishi hamu lol

Tunashukuru kwa shukrani na sisi tunawashukuru pia.

Karibuni tena.
More than 12 years ago!

It seems just like yesterday!!
 
Back
Top Bottom