Mlisikia ya mkosoaji wa gavana wa Mombasa kutekwa, kuteswa na kulawitiwa?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Mshikaji anaitwa Bruce John Chawa. Ni blogger maarufu kama chawa 001.

Ilikuwa 12th September, 2024. Unaambiwa watu kama 20 walikuja kumteka. Majirani walivyotoka jamaa wakadai wao ni polisi.

Unaweza ukamsikiliza zaidi katika hii video.
 
Attachments

  • obbNMjFOAzT6mFCs.mp4
    3.6 MB
Mshikaji anaitwa Bruce John Chawa. Ni blogger maarufu kama chawa 001.

Ilikuwa 12th September, 2024. Unaambiwa watu kama 20 walikuja kumteka. Majirani walivyotoka jamaa wakadai wao ni polisi.

Unaweza ukamsikiliza zaidi katika hii video.
Namuonea huruma, ukweli hakika unauwa. Kumbe na haya mambo Kenya yapo.
 
Hii issue ilitokea wiki imepita
Na huyu inasemekana alikuwa anamtukana sana huyo gov na familia
Ila mbona anavyohojiwa kama alienjoy hicho kitendo kufanyiwa

Ova
 
Hahah duh
 
Na bado kuna maswali mengi ya kujiuliza.
Wafanyakazi wako wanaweza kukufanyia mambo hayo na kukurekodi, na bado wakaendelea kufanya kazi kwenye kampuni yako???
Maelezo yake yana walakini.
 
Back
Top Bottom