Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Inasikitisha sana, nampongeza huyo dogo kwa ujasiri wake wa kujitokeza hadharani, Mungu amsimamie inshallahMshikaji anaitwa Bruce John Chawa. Ni blogger maarufu kama chawa 001.
Ilikuwa 12th September, 2024. Unaambiwa watu kama 20 walikuja kumteka. Majirani walivyotoka jamaa wakadai wao ni polisi.
Unaweza ukamsikiliza zaidi katika hii video.