Mlisikia ya mkosoaji wa gavana wa Mombasa kutekwa, kuteswa na kulawitiwa?

Mshikaji anaitwa Bruce John Chawa. Ni blogger maarufu kama chawa 001.

Ilikuwa 12th September, 2024. Unaambiwa watu kama 20 walikuja kumteka. Majirani walivyotoka jamaa wakadai wao ni polisi.

Unaweza ukamsikiliza zaidi katika hii video.
Inasikitisha sana, nampongeza huyo dogo kwa ujasiri wake wa kujitokeza hadharani, Mungu amsimamie inshallah
 
Mshikaji anaitwa Bruce John Chawa. Ni blogger maarufu kama chawa 001.

Ilikuwa 12th September, 2024. Unaambiwa watu kama 20 walikuja kumteka. Majirani walivyotoka jamaa wakadai wao ni polisi.

Unaweza ukamsikiliza zaidi katika hii video.
Lakini na yeye ana matusi sana huyo. Aliliwa matko....
 
Back
Top Bottom