GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko.
Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya Kudokezwa na Mtu kutoka Kwao Burkinafaso na Wakala aishie Ufaransa na Afrika Kusini kuwa hakuna Mchezaji hapo, wa Kawaida sana tu halafu ni Prone Injury, ila kwa Ushamba wenu na Dharau mkatuona hatuna Akili wakati kumbe Simba SC ndiyo Baba Lao kwa Usajili.
Hizi kelele zenu Redioni na Runingani kuwa Mburkinafaso Wenu kuwa si Kitu na Anabahatisha tu Kiuchezaji nendeni mkamwambie Rais wenu muongo muongo na siyo Sisi Wadau na wenye Kuujua vyema Mpira ( hasa huu wa Tanzania ) sawa?
Na lile Goti lake haponi ng'o Kudadadeki zenu kwani Mafia kutoka upande wa Pili wameshafanya yao ili Kumpunguza Kasi na Miguvu yake isiyo na Faida.
Imeisha hiyo........