Pole lakini nakuhakikishia ni jambo la muda tu unaweza kuona uwanja ni mweupe kabisa huoni mwisho.
Katika kipindi hiki usiwe na hofu maana hofu inaathiri afya ya mwili na akili.
Usije jichanganya ukaingia kwenye ulevi kwa kigezo kwamba unakabiliana na stress au kutafuta mwanamke/wanawake possibility ya kutekeketea itakuwa kubwa zaidi kuliko kuinuka.
Fanya haya na utarudi kwenye hali yako ya mwanzoni au kurise zaidi ya mwanzoni maana sasa umejua maumivu ya kukosa utaheshimu maisha na pesa kuliko chochote.
-kama una amini uwepo wa Mungu na u
Your content
likuwa unamuomba randomly sasa kuwa serious Omba na mtolee sadaka za shukrani na mahitajo yako tafuta kanisa ambalo utaona ni sahihi kuomba huko fanya hivyo. Mungu ni Mwaminifu atakutendea ingawa unaweza kuona anachelewa kukujibu lakini usimwache Kumuomba.
- punguza matumizi yasio na ulazima kama ulikuwa unatumia 10,000 kwa siku hakikisha unapunguza nusu ya matumizi
Fanya yale matumizi ambayo ni ya lazima tu.
-kama kuna kazi unayo hakikisha unaiboresha kama hauna usione aibu kupambana kutafuta kazi
Tumia ule ule mtandao wako kwa hekima kupata connection katika hili uwe na historia ya uaminifu utaaminika kwa haraka.
-ujue chanzo kilicho kufelisha usikirudie tena mara kwa m