You are like me man! And I stood up again!
Kwanza niliacha maisha ya zamani, (starehe zote) na ni baada ya kugundua sikua na marafiki Bali nilikua na parasites ambao baada ya Hali ngumu ya kupoteza Kila kitu waligeuka maadui na kunisema vibaya. Nilijitenga nao kwanza.
Kurudi kanisani, kanisani hasa ukipata kanisa ambalo halihubiri kwa vitisho l, kanisa ambalo linafundisha kanuni za maisha, na thamani ya mwanadamu. Katika hili hakika utapata amani ya moyo, akili na Roho na kiyatazama maisha kwa matumaini makubwa. Utakumbuka agano la Mungu na wewe, utakumbuka your purpose!
Utakua na sababu ya kuchagua new circle ya mtazamo mpya na mtazamo chanya.
Mungu akisha kukusaidia kujutengeneza hakika unasimama upya na unaenda hatua kubwa zaidi! Kila unachokifanya utatambua thamani yake na utailinda!
Moyo unakuuma hilo ndo tatizo kubwa.Kuumwa na moyo tafsiri yake ni kuwa haujakubali kilichotokea na fikra zako zinaishi maisha uliyokuwa nayo zamani.
Kabla ya yote jifunze kujikubali.
Ikiwa wewe ni muaminifu kwa watu na watu bado wanakuamini,hiyo ni silaha kubwa.Nilifirisika ila nilibebwa na wafanyabiashara wenzangu kwa kumipa bidhaa niuze na kurejesha fedha zao.Sina historia ya udhulumaji.
Ikiwa historia yake ina chembechembe za dhuluma basi utakuwa na safari ndefu kurudi ulipokuwa.
Ningependa kufahamu, wengine mliwezaje kuinuka tena baada ya kuanguka kiuchumi? Mlitumia mbinu gani kuondoka katika hali ya ufukara uliokithiri, na ni nini kilichowasaidia kufanikisha hilo?
Mbona kwangu imekuwa tofauti sana?
Inaonekana kuisha miaka mitatu, bado nikiwa katika giza nene baada ya kuanguka, na kila juhudi ninayofanya inanipeleka nyuma zaidi.
Napambana kwa kila hali lakini hakuna kinachonipa matunda, moyo wangu unauma mno.
Gentleman,
kupanga ni kuchagua gentleman. Huo ndio muda muafaka zaidi kufanya na kuchukua maamuzi magumu na muhimu zaidi, na bado muda wa kufanya vizuri zaidi unao. karibu shambani katika kilimo biashara, karibu sana katika ufugaji na biashara ya mifugo..
dawa na suluhusho la ugumu katika yote,
ni kutokukata tamaa bali kuzidisha juhudi katika kufanya kazi kwani mtaji walionao ni nguvu zako mwenyewe.
Ni muhimu zaidi kumshirikisha Mungu katika kila hatua ya mipango yako ya kujikwamua ili akuonyeshe njia na kukufanyia wepesi pale kwenye mkwamo, uzito au ugumu wa maisha ambao yeyote yule anaweza kuupitia au kukumbana nao katika nyakati mbali mbali.🐒
Nilipitia hayo ikabidi kwanza kabisa niitoe familia r kwenye nyumba kubwa tuliyopanga na kwenda kwenye chumba kimoja Jangwani huku tunaendelea kukarabati vyumba viwili tuhamie
Pia, nikawa natunza sana akiba huku nikihakikisha narudisha madeni ya watu wote wanaonidai, baada ya miezi kama 7 ya mahangaiko sana niliweza kurudi nilipokuwa.
Ningependa kufahamu, wengine mliwezaje kuinuka tena baada ya kuanguka kiuchumi? Mlitumia mbinu gani kuondoka katika hali ya ufukara uliokithiri, na ni nini kilichowasaidia kufanikisha hilo?
Mbona kwangu imekuwa tofauti sana?
Inaonekana kuisha miaka mitatu, bado nikiwa katika giza nene baada ya kuanguka, na kila juhudi ninayofanya inanipeleka nyuma zaidi.
Napambana kwa kila hali lakini hakuna kinachonipa matunda, moyo wangu unauma mno.
Pole lakini nakuhakikishia ni jambo la muda tu unaweza kuona uwanja ni mweupe kabisa huoni mwisho.
Katika kipindi hiki usiwe na hofu maana hofu inaathiri afya ya mwili na akili.
Usije jichanganya ukaingia kwenye ulevi kwa kigezo kwamba unakabiliana na stress au kutafuta mwanamke/wanawake possibility ya kutekeketea itakuwa kubwa zaidi kuliko kuinuka.
Fanya haya na utarudi kwenye hali yako ya mwanzoni au kurise zaidi ya mwanzoni maana sasa umejua maumivu ya kukosa utaheshimu maisha na pesa kuliko chochote.
likuwa unamuomba randomly sasa kuwa serious Omba na mtolee sadaka za shukrani na mahitajo yako tafuta kanisa ambalo utaona ni sahihi kuomba huko fanya hivyo. Mungu ni Mwaminifu atakutendea ingawa unaweza kuona anachelewa kukujibu lakini usimwache Kumuomba.
- punguza matumizi yasio na ulazima kama ulikuwa unatumia 10,000 kwa siku hakikisha unapunguza nusu ya matumizi
Fanya yale matumizi ambayo ni ya lazima tu.
-kama kuna kazi unayo hakikisha unaiboresha kama hauna usione aibu kupambana kutafuta kazi
Tumia ule ule mtandao wako kwa hekima kupata connection katika hili uwe na historia ya uaminifu utaaminika kwa haraka.
-ujue chanzo kilicho kufelisha usikirudie tena mara kwa mara ukitaka kufanya maamuzi na hela ukumbuke makosa uliyoyafanya iwe kama chachu ya kutokurudia tena.
Pole lakini nakuhakikishia ni jambo la muda tu unaweza kuona uwanja ni mweupe kabisa huoni mwisho.
Katika kipindi hiki usiwe na hofu maana hofu inaathiri afya ya mwili na akili.
Usije jichanganya ukaingia kwenye ulevi kwa kigezo kwamba unakabiliana na stress au kutafuta mwanamke/wanawake possibility ya kutekeketea itakuwa kubwa zaidi kuliko kuinuka.
Fanya haya na utarudi kwenye hali yako ya mwanzoni au kurise zaidi ya mwanzoni maana sasa umejua maumivu ya kukosa utaheshimu maisha na pesa kuliko chochote.
likuwa unamuomba randomly sasa kuwa serious Omba na mtolee sadaka za shukrani na mahitajo yako tafuta kanisa ambalo utaona ni sahihi kuomba huko fanya hivyo. Mungu ni Mwaminifu atakutendea ingawa unaweza kuona anachelewa kukujibu lakini usimwache Kumuomba.
- punguza matumizi yasio na ulazima kama ulikuwa unatumia 10,000 kwa siku hakikisha unapunguza nusu ya matumizi
Fanya yale matumizi ambayo ni ya lazima tu.
-kama kuna kazi unayo hakikisha unaiboresha kama hauna usione aibu kupambana kutafuta kazi
Tumia ule ule mtandao wako kwa hekima kupata connection katika hili uwe na historia ya uaminifu utaaminika kwa haraka.
-ujue chanzo kilicho kufelisha usikirudie tena mara kwa m
Nilipitia hayo ikabidi kwanza kabisa niitoe familia r kwenye nyumba kubwa tuliyopanga na kwenda kwenye chumba kimoja Jangwani huku tunaendelea kukarabati vyumba viwili tuhamie
Pia, nikawa natunza sana akiba huku nikihakikisha narudisha madeni ya watu wote wanaonidai, baada ya miezi kama 7 ya mahangaiko sana niliweza kurudi nilipokuwa.
Ningependa kufahamu, wengine mliwezaje kuinuka tena baada ya kuanguka kiuchumi? Mlitumia mbinu gani kuondoka katika hali ya ufukara uliokithiri, na ni nini kilichowasaidia kufanikisha hilo?
Mbona kwangu imekuwa tofauti sana?
Inaonekana kuisha miaka mitatu, bado nikiwa katika giza nene baada ya kuanguka, na kila juhudi ninayofanya inanipeleka nyuma zaidi.
Napambana kwa kila hali lakini hakuna kinachonipa matunda, moyo wangu unauma mno.
Nlipo anguka nilichekwa na watu mtaan kufurahia anguko lang hata wale niliyo wasaidia ndyo wakwanza kufurah ndy hasra na ukatili wa mawazo na sheria ngumu kujiwekea kufanya kaz kwa bdii iliyo ptiliza na malengo mapana kujiwekea nilifanya kaz ya saidia fund miezi 6 bila kukataa tamaa uku nikiwa nmekod shamba kwa kilimo endelevu saiv nmerud kweny gem staki mzaa na ofc aiseee saiv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.