Mliyewahi kutumia dawa za kuongeza umbile la uume naombeni mrejesho

loosimingori

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
920
Reaction score
1,145
Kumekuwa na matangazo mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ja uwepo wa dawa mbalimbali za kiasili zenye kuongeza umbile la ndonga.Binafsi nimewahi kutumia baadhi ya dawa lakini sioni matokeo chanya zaidi ya kupata hasara kubwa kwani baadhi ya dawa nililazimika kutumia hadi sh.laki 1.5 kuipata nakumbuka dawa ya chini kabisa nilinunua sh.elfu 80.Ombi langu ni kwa wale waliotumia hizo dawa na kupata matokeo chanya basi mniambie jina la dawa na vile naweza kuipata pamoja cost yake. Natanguliza shukrani kwenu wadau
 
Nipo mkoa ila waweza nichek Pm
Ila bei nakuweka wazi kuna
@75,000(ya unga) unakoroga na kunywa Mara moja tu asubuhi au jioni kila siku(haina madhara cz ni ya mitishamba,matokeo after 7days)
@150,000 (ya kupaka na kuchua(ni kama mafuta ya Nazi.

Wengine walionazo wataongezea ujuzi wao
 
fix hiyo
 
Mbona kama ni id moja hii??? Yaani unapost na kujijibu mwenyewe??
 
Nipo mkoa ila waweza nichek Pm
Ila bei nakuweka wazi kuna
@75,000(ya unga) unakoroga na kunywa Mara moja tu asubuhi au jioni kila siku(haina madhara cz ni ya mitishamba,matokeo after 7days)
@150,000 (ya kupaka na kuchua(ni kama mafuta ya Nazi.

Wengine walionazo wataongezea ujuzi wao
mkuu hata hizo nilizotumia nikiambiwaga hivyo hivyo ndio maana nataka ushahidi kwa waliowahi kuzitumia
 
Haya kwako ni mateso bila chuki, na kuchamba kwingi mwisho utashika na mavi wallah.....[emoji13] [emoji13]
 
mkuu hata hizo nilizotumia nikiambiwaga hivyo hivyo ndio maana nataka ushahidi kwa waliowahi kuzitumia
Kuambiwa haitoshi bt Mimi naongelea experience na ndio maana nikaanza kuziuza pia,nazitoa Mpanda,then nawauzia watu tofauti
 
Nipo mkoa ila waweza nichek Pm
Ila bei nakuweka wazi kuna
@75,000(ya unga) unakoroga na kunywa Mara moja tu asubuhi au jioni kila siku(haina madhara cz ni ya mitishamba,matokeo after 7days)
@150,000 (ya kupaka na kuchua(ni kama mafuta ya Nazi.

Wengine walionazo wataongezea ujuzi wao
Watu mko makini na fursa...
 
Back
Top Bottom