loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,145
Kumekuwa na matangazo mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ja uwepo wa dawa mbalimbali za kiasili zenye kuongeza umbile la ndonga.Binafsi nimewahi kutumia baadhi ya dawa lakini sioni matokeo chanya zaidi ya kupata hasara kubwa kwani baadhi ya dawa nililazimika kutumia hadi sh.laki 1.5 kuipata nakumbuka dawa ya chini kabisa nilinunua sh.elfu 80.Ombi langu ni kwa wale waliotumia hizo dawa na kupata matokeo chanya basi mniambie jina la dawa na vile naweza kuipata pamoja cost yake. Natanguliza shukrani kwenu wadau