Mliyoiona filamu ya "Leave The World Behind Movie", njooni tuichambue

Kwani ina part 2?

Movie Yako imeniacha na maswali mengi kuliko majibu. Vipi hatma ya Rose baada ya kupoteana na familia yake?

Na yule Archie, why ni yeye peke yake aliyeexperience madhara ya zile sauti?
Weka hayo maswali?mi napenda unichambulie bana
Kwanza umeipenda?
Part two bado
 
Bullshit.
 
Nilioona hii mwaka jana December, yaani mwezi mzima hii movie ilikuwa imekaa kichwani
Picha linaanza meli imepotea njia


The crazy part ilikuwa zile Tesla zinavovyo enda kukutana kwenye same highway


Hii scene mpaka Elon Musk alimaindi kuona gari zake zinakejeliwa

Halafu na zile ndege zote zinakwenda ku crah sehemu moja...



Halafu yule doomsday prepper(Kevin Bacon) alivyokuwa mnyama....


Hapa kuelewa kuhusu Koreans, unatakiwa ujue Lazarus Group ni kina nani?

Muda sio mrefu Lazarus walipita na JF, baada ya kutaja jina lao,
 
We call them the elites,hawa ndio wale wakuu wa dunia,wakaao siti moja na lucifer kuamua mustakabali mzima wa dunia,hawa wanaamua nani awe rais wa mataifa yetu nani awe tajiri namba moja wa dunia kwa muda husika,mara nyingi huwa ni memba wa familia tajiri zaidi duniani kama the rockerfellers,na kina rothschilds etc
 
Nini sababu ya matukio hayo?
Mbona yule dogo alingoka meno?
Mbona ndege zinaanguka hovyo?
Ile noise inatoka wapi?
Wale wanyama mbona walikua wanakusanyika?
Yule dogo wa kike alipoenda kule je kitakuja kumtokea nini?

Kuna code nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…