mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Tunapokula huwa hatulishi tumbo bali tunalisha selihai.
Unapoamka asubuhi Cell hai nazo huwa zinanjaa. So njaa ya ugali nyama bali virutubisho muhimu.
Habari mbaya ni kuwa hata usipolisha selihai hizo vitu sahihi muda huo , zenyewe zitatafuta popote mwilini mibadala kupata hicho kinachotakiwa.
Ushauri mzuri ni kuhakikisha hata kama ni masikini bora ukosee mchana usiku au asubuhi iliyoendaenda kidogo kuliko timing ya asubuhi unapoamka.
Nini ufanye sasa?
1: Kama uko vizuri muda huo ndio wa kula Matunda, Mbogamboga za majani, korosho/karanga, maziwa na vyakula vyenye virutubisho hata kama ni kwa kiwango cha kawaida.
2: Kama huna fedha bado hujachelewa. Tafuta chakula kimoja chenye virutubisho vingi kwa mpigo. Mfano mbegu za maboga za kusagwa, Molinga, etc unaweza kuuliza wataalam wa lishe. Kwa kufanya hivi kwa muda mrefu unaweza kujikuta umeokoa malaki ya fedha ambazo zingeenda kwa ajili ya matibabu ambayo ni matokeo ya maarifa duni ya ulaji.
Kwanini?
Asubuhi ndio muda sahihi wa kuhakikisha unapata virutubisho muhimu zaidi ya 124 mwilini wakati ambao vinahitajika kuliko wakati mwingine.
Mbarikiwe