Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
uSHINDWE KATIKA JINA LA YESU...Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Mkuu usitoke kundini, atakuwa amekuzimikia tu, mchape huyo nanihiii zimemzidia tu, ana hamu ya ku-do, baada ya kuchapa mlete kwenye church letu la ukweli(red color).Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
kama ni anakutaka, swala ni usibweteke na ulokole. Mchukulie kwa uzito sawa na dem ambae ungekutana nae klab ila kwa nia nzuri tu ya kufind out ni wanamna gani!Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Ombi gani sasa mkubwa?? kukubali kubadilika au lipi?
Anyway labda nak
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
wana jf
kuna dada wa 'kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Yaani kuingia kwako kwenye dhehebu la kilokole, ndio sababu ya yeye kupanda cheo na kupata faraja....!? Je umemuuliza vizuri kuhusiana na ilo?Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.
Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.
Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Ndugu yangu, kubadili imani kwa ushawishi wa mtu mwingine ndio mwanzo wa kuyumba kwa mipango na mambo yako mengi ktk maisha yako, na hasa kuingia ktk madhehebu yaliyoibuka kipindi hiki. Mengi ya madhehebu haya hayana tofauti na makampuni ya biashara au magenge ya utapeli. Kama una mali unaweza kujikuta unafilisika. Watakwambia achana na mambo ya dunia (kama wale Wasabato Masalia), toa mali zako kwa mungu, yesu anakaribia kurudi. Chunga sana kijana
Fuata nyuki ule Asali!!:embarrassed: