Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WATOTO ATAWATOA WAPIMaadili ya mama zetu hayooo.
Tukisema tunaonekana wabaya.
Mimi sipati picha watoto wake watakuwa wanajisikiaje watakapokuwa wanaziona hivyo!
Mungu atuokoe mwenyewe
Shida sanaMaadili ya mama zetu hayooo.
Tukisema tunaonekana wabaya.
Mimi sipati picha watoto wake watakuwa wanajisikiaje watakapokuwa wanaziona hivyo!
Mungu atuokoe mwenyewe
HE HE HE HIYO PATTERN ITAKUWA RAHISI SANALabda anaweka pattern mkuu,, ha haa
Na watoto wake watakuta mzgo wa kutosha tuu huko youtube, ila maisha yenyew ndo haya haya, mwache afurahie banaMaadili ya mama zetu hayooo.
Tukisema tunaonekana wabaya.
Mimi sipati picha watoto wake watakuwa wanajisikiaje watakapokuwa wanaziona hivyo!
Mungu atuokoe mwenyewe