Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Bravo maselaa,machalii na masistaa wa humu...

Niende kwenye mada

Katika watu waliotakiwa tuwe tumechanganya damu nao kisawasawa ni wahindi na wana miaka mingi tu hapa Tz ila cha ajabu idadi ya ndoa kati ya waafrika na wahindi ni chache mno ukinganisha na jamii nyingine mfano waarab

Ok sasa mlowahi kuwaoa,kudate au hata mahusiano na hawa wasichana hebu tiririkeni wakoje tuanze kujua mapema maana mzee wa totoz kuna mmoja nimemzimikia balaa nataka niingie kwake mzima mzima mtoto mashallah balaa...ila mlowahi kudate nao piteni hapa mtuambie wakoje

Si mbaya ila ukifanikiwa basi uwe tayari kuwa waenda baharini kila mwiho wa wiki kupunga upepo 🙂🙂

Wahindi kama wahindi yaani baniani na hindu ni ngumu sana.

Ila wahindi walochanganya kama wa kabila la Goa wako uzuri maana hata makanisani wapo.

Lakini wahindi wa kabila la baniani (wenye alama nyekundu usoni) na hindu hata kama yupo na wewe ni kwenye biashara na fedha na si vinginevyo maana hawa huoana wao kwa wao.

Au la umekwama kabisa, basi toka na uingine kwa wale waburishi ambao wako uzuri na huwa twajichanganya nao na uwaweza kutia neno.

Yote tisa, kumi wahindi angalia kwanza wazazi wa binti ndio watakuwa kielelezo cha binti yao.
 
Mkuu kama kwako uzuri wa mwanamke ni chura basi sikushauri uwaoe hao ila kama kwako uzuri wa mwanamke ni sura basi hao ndo wanakufaa maana wahindi kama ni sura tu wengi wamejaaliwa

Hamna wanawake dunia hii wanaowafikia wanawake wa kihindi kwa uzuri wa sura na nywele za asili ila kwenye chura hapo nisiwe muongo hawana kitu na hapo ndipo ule msemo wa kuwa Mungu hakupi kila kitu unapokamilika but they are very beautiful mashaallah kama huyo hapo kwenye avatar yangu
Assalaam Alleykum
 
Wamisri ndio wazuri kidunia na sio wahindi.
 
Wasomali nao vipi jamani,maana huwa nawakubali Sana mimi
Wapo vizuri baadhi yao ukipata bahati.. Mi nafikiria nikaopoe mtoto hata hapo karibu mana wamekuwa majirani zetu nafikiri nitapata pumziko
 
From personal experience.... Sio watamu... Hawana joto.... Hawana shape... Wanachoka haraka ... Wana kaharufu fulani hivi hasa kwenye nywele.... Ila kinachowabeba ni rangi
Dah njemba alikula mzigo akakinai
 
mmmhhh!! inaonekana una uzoefu nao sana,ngoja wahindi wa jf waje hapa
Nimeish sana maeneo ya uhindin iringa na mbeya plus mishe mishe nying maeneo ya posta hapa town najichanganya nao sana..ila sio kihivyo unavyofikiria ww mkuu
 
Back
Top Bottom