Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Hawana hata mzuka. Wabaridi mno wengi wanadai hivyo. Wanawezana wao kwa wao tu.
Kitu waarabu tu.
 
Niliskia wadada wa kihindi wanachungwa sana na mabraza/makaka zao. Huwezi kumuoa huyo mdada kama kaka zake hawajakukubali. Ni kama unawaoa hao makaka unaweza kusema. Kwa makaka nao kuoa ni hivohivo lazima ndugu wote waridhie. Ukikomaa uondoke na huyo mdada/mkaka wanamtenga mazima.
 
Aisee
 
Ukienda Mewat mpaka watoto wanaugua magonjwa ya ngozi kutokana na uchafu na harufu mbaya.

Halafu ukiwaangalia wahindi (wanawake) karibia wote wana mapungufu katika maumbile na wale tunaowaona kwenye movies ni wachache ambao ndiyo wengi huwachukulia wao kama ndio kipimio cha wahindi.

Aisee kwa upande wangu siko tayari kuoa muhindi hata kwa bakora.
Wachafu hatari . Nimeishi delhi na haryana 5 years nawajua kila kitu . Hawa jamaa ni waajabu ndio maana paka leo watu wanaiita ile nchi " incredible india" wametawaliwa na wazungu hundreds of years lakini hawana kitu waliadapt .
 
Hahahaha hapo kweli ulipatikana eti Kama mzee kilomoni
 
nasikia hata wale wa kwenye movies asilimia kubwa wamejiedit miili(yani baadhi wamefanya opereshen kurekebisha maungo yao). kwenye suala la uchafu pia nakuunga mkono, sehemu kubwa ya wahindi ni wachafu wachafu, nilisoma makala moja huko interior india ukitaka kuoa inatakiwa uonyeshe choo maana kule vyoo ni vya shida wengine wanajisaidia vichakani
 
Waarabu angalau wanavumilika kuliko wahindi hawafai hata kurumagia.
 
Heheh!

Duh,yaani wanawake wa kihindi ndio wanawake waliojaaliwa sura nzuri kuliko wote juu ya uso wa dunia???

Kweli kila macho huona vya kwake...

...maana wahindi kama ni sura tu wengi wamejaaliwa

Hamna wanawake dunia hii wanaowafikia wanawake wa kihindi kwa uzuri wa sura na nywele za asili...
 
Harufu ya nywele hata wazungu wanayo yaan watu wenye laini wasipokuwa wasafi wana harufu flani hivi wanahitaji kuwa na usafi wa hali ya juu
Hyo harufu ikoje au ni ile Kama ya mtu mwenye ngozi ya albinism?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…