Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Kipindi kile cha kitafuta marafiki kwenye gazeti nikatuma namba Yangu kwenye gazeti la majira.

Mungu si Athumani jioni ya siku ambayo gazeti limetoka nikapigiwa simu na binti akajitambulisha anaitwa Shainur Sumra nikamuuliza ,wewe ni mwarabu akasema hapana Bali ni Muhindi aliyezaliwa Tanga na hata huko India hapajui.Na yeye alipoona jina langu akadhani Mimi ni mhindi ila nilipomwambia Mimi ni mbena tena wa Njombe huku.

Dah nikaona zali tukachati baadae tukaingia kwenye mahusiano bila kuonana huku nikivuta taswira ya mrembo amazing .

Siku ya kuonana sitoisahau maana tulikutana posta pale J.M.MALL kuna casino inaitwa Le grand . Nilitamani muda uende ili tuachane kila mtu aende zake maana mtoto wa kike ana kitambi hata Mzee Kilomoni wa Simba ana afadhali.

Alipoondoka tu nilimblock na sikumuhitaji mpaka Leo sijui alinichukuliaje lakini yeye alikuwa anapiga hesabu za ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
From personal experience.... Sio watamu... Hawana joto.... Hawana shape... Wanachoka haraka ... Wana kaharufu fulani hivi hasa kwenye nywele.... Ila kinachowabeba ni rangi
Ila nasikia wana mbunye ndogo sana, sijui kama ni kweli?
 
Wanakatazwa kuoa au kuolewa na sisi watu weusi.
Sijui kwanini?
Wanaubaguzi sana!

Kuna dada mmoja wa kibaniani alikufaga kwa kujiua mwenyewe baada ya wazazi wake kumkatalia kuolewa na mtu mweusi Yani mtanzania.

Sijui kwa nini hatupendi ?
 
Waethiopia labda kwa Africa lakini si kwa dunia. Anyway, nikubaliane nawe kuwa uzuri wa mtu upo kwa macho ya mtazamaji.

Ila wahindi kwa mimi niloishi nao, hapana kwakweli.
Mmhh basi bora hata uniambie waethiopia nitakuelewa ila siyo wamisri kuhusu rekodi za dunia hizo mbona zinatofautiana mwaka hadi mwaka ndo maana nikasema labda useme kuwa huo ni mtazamo wako maana uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji
 
From personal experience.... Sio watamu... Hawana joto.... Hawana shape... Wanachoka haraka ... Wana kaharufu fulani hivi hasa kwenye nywele.... Ila kinachowabeba ni rangi
Nywele zipi mkuu,za kichwani ama zile karibu na mji wa Bangalore.
 
Wanakatazwa kuoa au kuolewa na sisi watu weusi.
Sijui kwanini?
Wanaubaguzi sana!

Kuna dada mmoja wa kibaniani alikufaga kwa kujiua mwenyewe baada ya wazazi wake kumkatalia kuolewa na mtu mweusi Yani mtanzania.

Sijui kwa nini hatupendi ?
hatari sana
 
Back
Top Bottom