N Ndeluningo Member Joined Sep 17, 2023 Posts 6 Reaction score 8 Dec 27, 2023 #1 Kumekuwa na kero kubwa ya malori haya yanabeba kopa ni mengi mnoo na barabara imekuwa finyu. Serikali mtusaidie.
Kumekuwa na kero kubwa ya malori haya yanabeba kopa ni mengi mnoo na barabara imekuwa finyu. Serikali mtusaidie.