Mm mgeni humu

Mm mgeni humu

Most welcome Mgeni wetu karibu, humu utajifunza mazuri mengi !! Ila mabaya yakikukuta unasepa kivyako !! Lakini zaidi upendo,udugu,uzalendo na utaifa ndiyo msingi waJF. Good Luck
 
Karibu sana. Si ndio hivi umeshapost! Ila jihadhari na ban,
 
karibu.ila matusi na lugha za hovyohovyo hazitakiwi toa hoja jenga hoja penda nchi yako tanganyika.
 
...huo mwandiko wako wa ki face book 'mm' hapa sio mahala pake...unafuata mlengo gani wa kisiasa?...karibu...
 
Karibu sana ila sheria ni kama Tai-iwe mbele kwa kila jukwaa,usilete lugha za kwenye Facebook
"Vox popoli vox dei"
 
Back
Top Bottom